WIZARA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEHAMA YAJIPANGA KUHAKIKISHA MAWASILIANO YANAKUWA NA TIJA KWA WATANZANIA

WIZARA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEHAMA YAJIPANGA KUHAKIKISHA MAWASILIANO YANAKUWA NA TIJA KWA WATANZANIA

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imedhamiria imejipangakimkakati katika mwaka wa Fedha wa 2023/2024 kuleta mabadiliko makubwa yahuduma za Habari, Mawasiliano na TEHAMA nchini zenye tija kwa watumiaji wotenchini.Hayo yamesemwa Jijini Arusha na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia yaHabari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye, wakati wa akifunga Kikao Kazi cha Viongoziwa Wizara na […]

Read More
 TOENI ELIMU VIJIJI VINAVYOPANDISHWA HADHI-DKT MABULA

TOENI ELIMU VIJIJI VINAVYOPANDISHWA HADHI-DKT MABULA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula (kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Advera Bulimba wakifuatilia maelezo yanayotolewa na Razalo Kasigala kuhusina na mgogoro wa ardhi baina ya Kanisa Katoliki na serikali ya kijiji cha Lusahunga tarehe 21 Julai 2023. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline […]

Read More
 WHO YATOA MILIONI 855 KWAAJILI YA UTAFITI WA KITAIFA WA VIASHIRIA VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

WHO YATOA MILIONI 855 KWAAJILI YA UTAFITI WA KITAIFA WA VIASHIRIA VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Shirika la Afya Duniani (WHO) kuipatia Tanzania fedha Za kitanzania  milioni 855 kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa wa viashiria vya Magonjwa Yasiyoambukiza (Steps Survey 2023) unaotarajiwa kuanza mapema Agosti, mwaka huu nchi nzima  Akiongea wakati wa uzinduzi huo uliofanywa na Waziri wa Afya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Nassor Mazrui jijini Dodoma,Mkurugenzi Mtendaji […]

Read More
 DKT. NCHEMBA ATETA NA MHE. WAZIRI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI WA CONGO DRC

DKT. NCHEMBA ATETA NA MHE. WAZIRI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI WA CONGO DRC

Waziri wa Fedha. Mhe. Dkt  Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Ekila Libombo, walipokutana kwenye mazungumzo, kuhusu mipango ya kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji ili kukuza biashara na uchumi wa nchi hizo mbili, kwenye Ofisi za Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, jijini […]

Read More
 WIZARA YA AFYA YAZINDUA UTAFITI WA KITAIFA WA VIASHIRIA VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA (STEPS SURVEY 2023)

WIZARA YA AFYA YAZINDUA UTAFITI WA KITAIFA WA VIASHIRIA VYA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA (STEPS SURVEY 2023)

Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ambaye ndiye Mtafiti mkuu akikabidhiwa vifaa kwa ajili ya utafiti huo ambao unatarajiwa kuanza mapema mwezi Agosti mwaka huu na itafanyika mikoa yote Tanzania bara na zanzibar ikihusisha watu wenye umri  kati ya miaka 18 hadi 69. Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani 33% ya vifo vyote nchini […]

Read More
 TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA SITA WA KAMATI MAALUM YA MAWAZIRI WA FEDHA, MIPANGO YA KIUCHUMI NA MTANGAMANO WA UMOJA WA AFRIKA

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA SITA WA KAMATI MAALUM YA MAWAZIRI WA FEDHA, MIPANGO YA KIUCHUMI NA MTANGAMANO WA UMOJA WA AFRIKA

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza wakati wa Mkutano wa Sita wa Kamati Maalum ya Mawaziri wa Fedha, Mipango ya kiuchumi na Mtamangano wa Afrika, kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika, uliojadili kwa pamoja masuala mbalimbali na kuweka mikakati endelevu ya kukuza uwekezaji, ukuaji jumuishi wa uchumi na ustawi wa […]

Read More
 TANZANIA NA NETHERLANDS ZAJADILI KUENDELEZA USHIRIKIANO

TANZANIA NA NETHERLANDS ZAJADILI KUENDELEZA USHIRIKIANO

Ujumbe wa Tanzania (kushoto) ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, (wa pili kushoto) ukiwa katika kikao na ujumbe wa Netherlands ukiongozwa na  Naibu Waziri wa Mambo ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Netherlands Mhe. Steven Collet (katikati kulia), walipokutana na kufanya mazungumzo ya kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, […]

Read More