TANZANIA YAWASILISHA TAARIFA YA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGS) UMOJA WA MATAIFA

TANZANIA YAWASILISHA TAARIFA YA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGS) UMOJA WA MATAIFA

Tanzania imewasilisha Taarifa ya Pili ya Mapitio ya Hiari ya Nchi katika Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu, katika Jukwaa la Juu la Siasa la Umoja wa Mataifa, ambapo taarifa hiyo imeonesha mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika utekelezaji wa Malengo hayo ikiwemo kuimarisha huduma za Jamii, miundombinu, mapambano dhidi ya umaskini na maradhi pamoja na uwezeshaji […]

Read More
 CHONGOLO: HATUTARUDI NYUMA, NI MBELE KWA MBELE

CHONGOLO: HATUTARUDI NYUMA, NI MBELE KWA MBELE

Kufuatia maneno yanayoendelea kuhusiana na uwekezaji wa uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam imeelezwa kuwa maoni ya wananchi yatakusanywa, yale yatakayoonekana yana tija yataingizwa kwenye mjadala wa mkataba ukaoingiwa kwenye uendeshaji huo wa bandari, lakini suala la Serikali kurudi nyuma ni mwiko, bali mambo yatakuwa ni mbele kwa mbele. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu […]

Read More
 SERIKALI KUJENGA MASOKO MATANO YA MAZAO HALMASHAURI YA SONGEA

SERIKALI KUJENGA MASOKO MATANO YA MAZAO HALMASHAURI YA SONGEA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho katika matukio tofauti wakati akitafuta mahitaji ya nyumbani katika Soko la Permiho “A” lilopo Halmashauri ya Songea. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho awaomba wananchi kuchangamkia fursa za uchumi […]

Read More
 UWT TAIFA WAIPONGEZA NACHINGWEA KWA KUTEKELEZA ILANI YA CCM KAMA INAVYOTAKIWA

UWT TAIFA WAIPONGEZA NACHINGWEA KWA KUTEKELEZA ILANI YA CCM KAMA INAVYOTAKIWA

Mwenyekiti wa UWT taifa Merry Chatanda katika akiongea mara baada ya kukagua mradi wa RUWASA wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi na kuridhika na mchakato wake UMOJA wa wanawake wa chama cha mapinduzi (UWT) wameupongeza uongozi wa wilaya ya Nachingwea Kwa kutekeleza miradi vizuri kama ambavyo ilani ya CCM inavyotaka. Viongozi mbalimbali wakiongozwa na mwenyekiti wa UWT […]

Read More
 WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA MNARA WA SHUJAA AHAMAD MZEE

WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA MNARA WA SHUJAA AHAMAD MZEE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas katika eneo la Mnara wa Shujaa UD 5826 L/CPL AHAMAD MZEE katika kata ya Kitaya Halmashauri ya wilaya ya Nanyamba Mkoani Mtwara. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) […]

Read More
 RAIS SAMIA NA MGENI WAKE RAIS WA HUNGARY, MHE. KATALIN Novák, WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI IKULU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA NA MGENI WAKE RAIS WA HUNGARY, MHE. KATALIN Novák, WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Julai, 2023. Rais Novák yupo nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu. Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák akizungumza na Waandishi […]

Read More
 SEKTA YA MAWASILIANO YACHANGIA KUKUA UCHUMI WA NCHI

SEKTA YA MAWASILIANO YACHANGIA KUKUA UCHUMI WA NCHI

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabiri Bakari Sekta ya Mawasiliano inachangia kukua na kuendelea kwa sekta nyingine ikiwemo kuleta ustawi wa maisha ya wananchi kisiasa, kijamii na kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa leo Julai 18, 2023 jijini Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabiri Bakari wakati akizungumza […]

Read More
 TAARIFA YA MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) DKT. PETER KISENGE KATIKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI   JULAI 18, 2023.

TAARIFA YA MKURUGENZI MTENDAJI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) DKT. PETER KISENGE KATIKA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI JULAI 18, 2023.

NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA…… Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema ambaye ametuwezesha kuifikia siku hii ya leo tukiwa wazima wenye afya njema. Aidha, nichukue nafasi hii kumshukuru sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philipo Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim […]

Read More