RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA JECHA

RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA JECHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametumasalamu za rambirambi kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo chaaliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jecha SalimJecha.Kifo cha marehemu Jecha kimetokea tarehe 18 Julai, 2023 katika hospitali ya Lugalojijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.Rais Samia amepokea taarifa […]

Read More
 DKT. NCHEMBA AIKARIBISHA TAASISI YA UINGEREZA KUWEKEZA NCHINI

DKT. NCHEMBA AIKARIBISHA TAASISI YA UINGEREZA KUWEKEZA NCHINI

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akiwa katika mkutano na ujumbe wa  Taasisi ya kifedha ya Uingereza (Investment Director Infrastructure), iliyoongozwa na  Mwenyekiti wake Bw. Simon Cheung (kushoto), mkutano ulifanyika Ofisi za Hazina, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Taasisi hiyo, Bw.  Ope Onibokun. Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt.  Mwigulu […]

Read More
 SERIKALI YATOA MSAADA WA KIBINADAMU, NANYAMBA NA TANDAHIMBA

SERIKALI YATOA MSAADA WA KIBINADAMU, NANYAMBA NA TANDAHIMBA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na UratiBu) Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi Bwn, Abdalah Mbwana msaada wa vifaa vya kibinadamu, tukio hilo limefanyika katika kata ya Michenjele Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba Mkoa wa Mtwara. Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) imetoa misaada ya kibinadamu kwa kaya 184 […]

Read More
 NAIBU WAZIRI NDERIANANGA AKEMEA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI (WAVIU)

NAIBU WAZIRI NDERIANANGA AKEMEA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI (WAVIU)

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe.Ummy Nderiananga akizungumza na wanachama kutoka kwenye Konga za watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI, Wilaya ya Moshi Mjini na Vijijini alipowatembelea. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe.Ummy Nderiananga amekemea vitendo vya unyanyapaa kwa watu wanaoishi na […]

Read More
 UPIMAJI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO WILAYANI BAGAMOYO

UPIMAJI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO WILAYANI BAGAMOYO

Wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo iliyopo mkoani Pwani watafanya upimaji na matibabu ya moyo kwa wananchi wa Wilaya ya Bagamoyo na Wilaya jirani. Upimaji huo utafanyika siku ya Jumatano tarehe 19/07/2023 saa mbili kamili asubuhi mpaka saa 10  kamili jioni katika Hospitali ya […]

Read More
 MFUMO MPYA WA UNUNUZI WA UMMA KUDHIBITI RUSHWA-MASWI

MFUMO MPYA WA UNUNUZI WA UMMA KUDHIBITI RUSHWA-MASWI

Serikali ilifanya maamuzi ya kujenga mfumo mpya wa ununuzi wa umma  kwa njia ya kielektroniki unaojulikana kwa jina la National e-Procurement System of Tanzania (NeST), ambao unapatikana kwa kupitia anuani ya https://www.nest.go.tz. Hayo yameelezwa leo Julai 17, 2023 jijini Dodoma na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Eliakim Maswi wakati […]

Read More
 100 KUTOKA JKCI WAPIGWA MSASA WA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA DHARURA NA MAHUTUTI

100 KUTOKA JKCI WAPIGWA MSASA WA KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA DHARURA NA MAHUTUTI

Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Kurugenzi ya Upasuaji wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Wataalamu wa magonjwa ya moyo 100 kutoka Kurugenzi ya Upasuaji ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete […]

Read More