RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA JUKWAA LA DEMOKRASIA AFRIKA JIJINI ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kutoka Ndani na Nje ya Nchi kabla ya kufungua Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya […]
Read More