WANACHUO MALYA MABALOZI WA MICHEZO NCHINI–DKT CHANA

WANACHUO MALYA MABALOZI WA MICHEZO NCHINI–DKT CHANA

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini, mhe. Dkt Pindi Chana, Julai 14, 2023 ametembelea Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya na kukagua miradi kadhaa ya maendeelo inayoendelea kujengwa chuoni hapo, chini ya fedha za Serikali Kuu zinazotolewa kila bajeti ya kila mwaka na kusema kuwa anawapongeza sana wanachuo wa chuo hiki kwa kuchagua kusoma […]

Read More
 RAIS SAMIA: ILI TANZANIA IENDELEE LAZIMA KUPANGA NA KUFIKIRI

RAIS SAMIA: ILI TANZANIA IENDELEE LAZIMA KUPANGA NA KUFIKIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kutoogopa kufanya maamuzi yenye nia njema kwa manufaa ya nchi. Kauli hiyo ameitoa leo Julai 14, 2023 Ikulu jijini Dar es salaam wakati akihutubia mara baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni. “Lakini niwaombe kwenye nia safi na ya […]

Read More
 TARURA WAANZA UJENZI WA DARAJA LA MTO NJOKA

TARURA WAANZA UJENZI WA DARAJA LA MTO NJOKA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Mradi wa ujenzi wa Daraja la Mto Njoka. Serikali yatoa millioni 699 kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Njoka lenye ukubwa wa mita 20 na ambalo litapitika muda wote na kusaidia […]

Read More
 VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI WAHIMIZWA KUWEKA UWAZI KATIKA KUWATAMBUA WANAOSTAHILI KUINGIZWA KWENYE MPANGO WA ILI KUEPUSHA MALALAMIKO

VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI WAHIMIZWA KUWEKA UWAZI KATIKA KUWATAMBUA WANAOSTAHILI KUINGIZWA KWENYE MPANGO WA ILI KUEPUSHA MALALAMIKO

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na wananchi na walengwa wa TASAF wa Kata ya Masaki, Kijiji cha Kisanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF. Naibu Waziri, Ofisi ya […]

Read More
 KAMBI MAALUM YA MFUMO WA UMEME WA MOYO YAFANYIKA JKCI

KAMBI MAALUM YA MFUMO WA UMEME WA MOYO YAFANYIKA JKCI

Wataalam wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wakiangalia umeme wa moyo unaoingia kwa mgonjwa unavyofanya kazi kwa kutumia mashine ya CRTD Programmer wakati wa kambi maalum ya siku tano ya matibabu hayo. Jumla ya wagonjwa 12 wameshapatiwa matibabu katika kambi hiyo. Madaktari […]

Read More
 NAIBU WAZIRI KIKWETE AWATAKA MAAFISA UTUMISHI KUWA WABUNIFU KATIKA UTENDAJI KAZI

NAIBU WAZIRI KIKWETE AWATAKA MAAFISA UTUMISHI KUWA WABUNIFU KATIKA UTENDAJI KAZI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Wa kwanza kulia) akielekea kwenye ukumbi wa mikutano Mkoa wa Pwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe kwa lengo la kuzungumza na watumishi wa halmashauri hiyo wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili […]

Read More