MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU, JINA LA BITEKO, SILAA MAVUNDE, PROF MBARAWA GUMZO

MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU, JINA LA BITEKO, SILAA MAVUNDE, PROF MBARAWA GUMZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu. Katika mabadiliko hayo, Mhe. Rais ameanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kuifuta Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na badala yake kuunda wizara mpya mbili ambazo ni: Wizara ya Ujenzi na Wizara ya […]

Read More
 RAIS SAMIA ATUA KIZIMKAZI KWA CHOPA, TABASAMU KAMA LOTE

RAIS SAMIA ATUA KIZIMKAZI KWA CHOPA, TABASAMU KAMA LOTE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye Helicopter ya Jeshi mara baada ya kutua kwenye Uwanja wa Kizimkazi Zanzibar ambapo atashiriki Tamasha kubwa la Kizimkazi 2023 na Uzinduzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo. Mara baada ya kutua Mhe. Rais Samia amepokelewa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na kuwasalimia […]

Read More
 BENKI YA MADINI MBIONI KUANZISHWA, STAMICO YAANZISHA MCHAKATO, WACHIMBAJI KUKOPESHEKA

BENKI YA MADINI MBIONI KUANZISHWA, STAMICO YAANZISHA MCHAKATO, WACHIMBAJI KUKOPESHEKA

Shirika la Madini la Taifa(Stamico) limeanza mchakato wa kuanzisha Benki ya Wachimbaji Madini Tanzania lengo likiwa ni  kutafuta njia mbadala inayoweza kutatua kabisa vikwazo vya kimitaji kwa wachimbaji wadogo nchini. Akizungumza leo Agosti 28,2023 wakati wa mkutano na wahariri wa vyombo vya habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Stamico Dkt Venance Mwasse amesema  wachimbaji wadogo wanakosa […]

Read More