FURSA ZA MIFUGO NA UVUVI ZAZIDI KUPAA

FURSA ZA MIFUGO NA UVUVI ZAZIDI KUPAA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (Mb), (wapili kutoka kushoto) akiangalia baadhi ya mifugo iliyopo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (Nanenane) yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya). Wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Dkt. Daniel Mushi.  Serikali imewaasa wadau wa sekta za mifugo […]

Read More
 DKT. TULIA AWATAKA WANANCHI KUWAKATAA WAPINGA MAENDELEO

DKT. TULIA AWATAKA WANANCHI KUWAKATAA WAPINGA MAENDELEO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia niMbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewatakaWananchi kote nchini kunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikaliyao kwa ajili ya kuwaletea maendeleo na kuwapuuza wale wotewanaowashawishi kuyapinga.Dkt. Tulia ameyasema hayo leo tarehe 5 Agosti, 2023 wakati akifanyamkutano wa hadhara na Wananchi wa Kata ya […]

Read More
 NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MBARALI

NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MBARALI

Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw.Ramadhani Kailima  Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Mbarali na kata sita za Tanzania Bara utafanyikatarehe 19 Septemba, 2023.Akisoma taarifa kwa umma jijini Dodoma leo tarehe 05 Agosti, 2023, Mkurugenzi waUchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima amesemawagombea watachukua fomu kuanzia tarehe 13 hadi 19 Agosti, 2023, siku ya uteuziitakuwa […]

Read More
 UKAGUZI WA AFCON UMEENDA VYEMA – YAKUBU

UKAGUZI WA AFCON UMEENDA VYEMA – YAKUBU

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Saidi Yakubu amesema timu ya Wakaguzi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kwa maandalizi ya AFCON 2027 imemaliza ukaguzi wao vyema katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kupitia kapeni ya EA Pamoja Bid. Akiongea katika Kipindi cha Jambo kinachorushwa ya Shirika la […]

Read More
 SIMBACHAWENE ARIDHISHWA THAMANI YA FEDHA ILIYOTUMIKA UJENZI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MWANANGWA

SIMBACHAWENE ARIDHISHWA THAMANI YA FEDHA ILIYOTUMIKA UJENZI SHULE YA SEKONDARI WASICHANA MWANANGWA

Inbox Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi na walengwa wa TASAF wa Kijiji cha Mwanangwa mara baada ya kukagua  Shule ya Sekondari ya Wasichana Mwanangwa iliyojengwa kwa ufadhili wa TASAF, wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa […]

Read More
 RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA ZIMBABWE EMMERSON MNANGAGWA, IKULU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA ZIMBABWE EMMERSON MNANGAGWA, IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa uliowasilishwa kwake na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru kutoka Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashiri mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar […]

Read More
 SERIKALI KUJA NA MFUMO WA URATIBU WA AFUA ZA VIJANA

SERIKALI KUJA NA MFUMO WA URATIBU WA AFUA ZA VIJANA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi akizungumza na vijana pamoja na wadau wa asasi za kiraia zinazojishughulisha na masuala ya vijana katika kongamano la vijana lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas […]

Read More
 MAJALIWA: SIMAMIENI MAPATO YA NDANI KUBORESHA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI

MAJALIWA: SIMAMIENI MAPATO YA NDANI KUBORESHA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Ofisi ya Rais (TAMISEMI) ihakikishe kuwa mapato yatokanayo na mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi yanatengwa na yanatumika katika sekta husika kulingana na miongozo iliyopo ili kuboresha sekta hizo. “Ofisi ya Rais (TAMISEMI) hakikisheni mnasimamia Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 unaozitaka Mamlaka za […]

Read More