UPATIKANAJI WA MITAJI KWA WAKULIMA, WAFUGAJI UELEZWE KWA URAHISI – WAZIRI MKUU

UPATIKANAJI WA MITAJI KWA WAKULIMA, WAFUGAJI UELEZWE KWA URAHISI – WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mafuta ya kula yaliyotokana na alizeti wakati alipotembelea banda la wilaya ya Chunya katika maonesho ya Wakulima ya Kimataifa  Nanenane kwenye uwanja  wa John Mwakangale jijiii Mbeya, Agosti 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iweke katika lugha rahisi andiko juu […]

Read More
 RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA 8 LA WAHANDISI WANAWAKE TANZANIA UKUMBI WA HOTELI YA GOLDEN TULIP ZANZIBAR

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA 8 LA WAHANDISI WANAWAKE TANZANIA UKUMBI WA HOTELI YA GOLDEN TULIP ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la 8 la  Wahandisi Wanawake Tanzania linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 3-8-2023.(Picha na Ikulu) WASAHIRIKI wa Kongamano la 8 la Wahandisi Wanawake Tanzania wakimsikiliza […]

Read More
 DED HAI AELEKEZWA KUMLIPA FUNDI ANAYEJENGA MIUNDOMBINU YA SHULE YA MSINGI MLIMA SHABAHA “B”

DED HAI AELEKEZWA KUMLIPA FUNDI ANAYEJENGA MIUNDOMBINU YA SHULE YA MSINGI MLIMA SHABAHA “B”

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akiwasili kukagua miundombinu ya elimu katika Shule ya Msingi Kyuu iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Hai. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Deogratius Ndejembi amemuelekeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauriya Wilaya ya Hai Bw. Dionis Myinga kumlipa fundi aliyepewa kandarasi yakujenga miundombinu […]

Read More
 SERIKALI YASIKILIZA KILIO CHA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA TANZANIA PLANTATION LTD

SERIKALI YASIKILIZA KILIO CHA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA TANZANIA PLANTATION LTD

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza katika mkutano wa wananchi wa kitongoji cha Lucy eneo la Bwawani wilayani Arumeru tarehe 2 Agosti 2023 mkoani Arusha. Serikali imesikiliza kilio cha waliokuwa wafanyakazi katika shamba la Tanzania Plantation lilipo wilaya za Arusha na Arumeru mkoa wa Arusha kwa kuwapatia maeneo kwa ajili ya […]

Read More
 TAI KIRUNGU KUZINDULIWA DAR

TAI KIRUNGU KUZINDULIWA DAR

MBUNIFU wa mavazi nchini mwenye kufanya kazi za Sanaa ya ubunifu wa mavazi, Didas Katona akifahamika zaidi kama ‘Katona Kashona’, anatarajia kuzindua Tai kirungu ((Bow Tie), tukio litakalofanyika Agosti 4, ukumbi wa Club The Marz zamani Nyumbani Lounge.  Katona Kashona amebainisha kuwa, tukio hilo watu mbalimbali maarufu wamealikwa huku burudani ya muziki wa ‘live’ ilitarajiwa […]

Read More
 WAZIRI JAFO ATETA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE

WAZIRI JAFO ATETA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt.Selemani Jafo akizungumza na watumishi wa Ofisi yake wakati akifunguakikao kazi kilichofanyika jijini Dodoma leo Agosti 3, 2023. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt.Selemani Jafo amesema ushirikiano baina ya viongozi na watumishi wa Ofisiya Makamu wa […]

Read More
 TUME YA USHINDANI YAPATA MAFANIKIO LUKUKI

TUME YA USHINDANI YAPATA MAFANIKIO LUKUKI

Tume ya Ushindani (FCC) imeendelea kupata mafanikio  katika kutekeleza lengo lake kuu la  kuongeza ufanisi katika uzalishaji, usambazaji na ugavi wa bidhaa na huduma katika kuhakikisha mazingira sawa ya ushindani wa soko baada ya nchi kuondokana na mfumo wa uchumi hodhi na kuhamia katika mfumo wa uchumi wa soko huria kwa maslahi mapana ya Taifa. […]

Read More
 MSONGO WA MAWAZO WATAJWA KUWA SABABU YA KUATHIRI AFYA YA WAJAWAZITO NA LISHE KWA WATOTO

MSONGO WA MAWAZO WATAJWA KUWA SABABU YA KUATHIRI AFYA YA WAJAWAZITO NA LISHE KWA WATOTO

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akifungua maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji maziwa  ya mama kwa mtoto  mbele ya  waandishi wa habari (hawapo pichani) iliyoanza tarehe 1 hadi 8 Agosti, 2023 yenye kauli mbiu isemayo”Saidia Unyonyeshaji: Wezesha Wazazi Kulea Watoto na  Kufanya Kazi zao Kila Siku”. Wajawazito nchini wametakiwa kukaa katika mazingira yasiyowaletea msongo […]

Read More