OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWAKARIBISHA WADAU, WANANCHI MAONESHO YA NANENANE 2023 MBEYA

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWAKARIBISHA WADAU, WANANCHI MAONESHO YA NANENANE 2023 MBEYA

Watumishi wa Ofisi ya Makamu wakionesha nakala ya machapisho mbalimbaliyanayozalishwa na ofisi hiyo kwa ajili ya kutoa huduma kwa watejambalimbali wanaotembelea Banda la Ofisi hiyo katika Maonesho ya Sikukuu yaWakulima Duniani (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya JohnMwakangale Jijini Mbeya leo Jumatano (Agosti 2, 2023) Ofisi ya Makamu wa Rais imeungana na Wizara, Idara, Wakala na […]

Read More
 TIMU YA WAKAGUZI KUTOKA CAF YAHITIMISHA UKAGUZI WAO SALAMA

TIMU YA WAKAGUZI KUTOKA CAF YAHITIMISHA UKAGUZI WAO SALAMA

Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji AFCON 2027, kutoka Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) imehitimisha ukaguzi wao salama Agosti 2, 2023 Zanzibar. Akizungumza mara baada ya kikao hicho, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Bw. Wallace Karia amezishukuru Serikali za nchi hizo kwa ushirikiano waliotoa […]

Read More
 TARURA YAPONGEZWA KWA KUJENGA BARABARA MPYA MWANGA

TARURA YAPONGEZWA KWA KUJENGA BARABARA MPYA MWANGA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kukagua ujenzi wa barabara ya kilomita 13.8 ya Mji wa Mwanga wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua miradi ya miundombinu ya elimu na barabara Wilayani Mwanga. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Deogratius Ndejembi […]

Read More
 MKUU WA MKOA DODOMA: KAMILISHENI MICHORO YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MPWAYUNGU KWA WAKATI

MKUU WA MKOA DODOMA: KAMILISHENI MICHORO YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MPWAYUNGU KWA WAKATI

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (kushoto) akiwa na Mkuu waWilaya ya Chamwino Mhe. Gift Msuya wakikagua eneo la Ujenzi wa Shule mpya yaSekondari Mpwayungu katika ziara iliyofanyika tarehe mwishoni mwa wiki, WilayaniChamwino. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameagiza wakandarasiwanaotekeleza mradi wa ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Mpwayungu iliyopoWilayani […]

Read More
 DED MOSHI AELEKEZWA KUMCHUKULIA HATUA MHANDISI HALMASHAURI KWA KUSHINDWA KUTIMIZA MAJUKUMU YAKE

DED MOSHI AELEKEZWA KUMCHUKULIA HATUA MHANDISI HALMASHAURI KWA KUSHINDWA KUTIMIZA MAJUKUMU YAKE

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Deogratius Ndejembi (aliyeinama) akijiridhisha na ubora wa sakafu katika darasa lililojengwa kwenye Shule ya Msingi Mandela iliyopo Manispaa ya Moshi, wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu inayojengwa na Serikali kupitia mradi wa BOOST na SEQUIP Naibu Waziri, Ofisi […]

Read More
 HOTUBA MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AKIFUNGUA NANENANE 2023 MBEYA

HOTUBA MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AKIFUNGUA NANENANE 2023 MBEYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. PhilipMpango akihutubia viongozi, wadau wa sekta ya kilimo na ufugaji pamoja nawananchi mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo yaNane nane leo tarehe 01 Agosti 2023 yanayofanyika katika viwanja vya JohnMwakangale mkoani Mbeya. Ndugu Wananchi,Kwanza, napenda kuwaletea salamu za Mheshimiwa Dkt. […]

Read More
 KINAMAMA EPUKENI KAUSHA DAMU- MHE. UMMY

KINAMAMA EPUKENI KAUSHA DAMU- MHE. UMMY

 Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (kulia) akikabidhi mitungi ya gesi kwa vikundi vya  wanawake Wilaya ya Moshi Mjini wakati wa ziara yake katika Mkoa huo. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro ambaye  pia ni Naibu Waziri […]

Read More
 MAKAMU WA RAIS AZINDUA HUDUMA ZA MRI HOSPITALI YA KANDA MBEYA

MAKAMU WA RAIS AZINDUA HUDUMA ZA MRI HOSPITALI YA KANDA MBEYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. PhilipMpango amesema serikali ya awamu ya sita ina dhamira ya dhati kuhakikishahuduma bora za afya zinasogezwa Jirani na wananchi.Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma zamashine ya MRI katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya iliogharimu shilingibilioni 3. Amesema […]

Read More