GF TRUCKS & EQUIPMENT YAIBUKA MSHINDI MAONYESHO YA MADINI RUANGWA
Kampuni ya Gf Trucks & Equipment’s Ltd ya jijini Dar es Salam imeibuka mshindi wa Pili wa Banda Bora kwa makampuni yanayotoa huduma ya uuzaji wa mitambo na magari Migodini . Hayo yamebainika wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Madini na Uwekezaji yaliofanyika Rwangwa mkoani Lindi yalioanza tarehe 21 na kuhitimishwa na Waziri mkuu Kasimu Majaliwa […]
Read More