UBORA MAABARA YA GST YAVUTIA MIRADI MIKUBWA KUPIMA SAMPULI ZA MADINI
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Dkt. Mussa Budeba amesema uwepo wa vifaa vya kisasa kwa ajili ya uchunguzi na utambuzi wa sampuli za madini, uchenjuaji, utambuzi wa tabia za miamba na wataalam wenye weledi, umevutia wateja kutoka miradi mikubwa ikiwemo ya Kimani, Bwawa la Umeme la Julius Nyerere […]
Read More