KINANA ASHAURI UHURU WA KUSEMA UWE NA MIPAKA

KINANA ASHAURI UHURU WA KUSEMA UWE NA MIPAKA

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndug, Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).(Picha na Fahadi Siraji), jijini Dar es Salaam Agosti 22, 2023. MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi […]

Read More
 RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WIDODO WA INDONESIA

RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WIDODO WA INDONESIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameridhiauamuzi wa Serikali ya Indonesia wa kufufua shughuli za Kituo cha Mafunzo yaKilimo kwa Wakulima Vijijini (FARTC) kilichopo Mkindo mkoani Morogoro.Rais Samia amesema hayo leo akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya IndonesiaJoko Widodo aliyepo nchini kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili […]

Read More
 KITUO CHA TGC CHAMKABIDHI KATIBU MKUU MAHIMBALI TUZO YA KUTHAMINI MCHANGO WAKE UONGEZAJI THAMANI MADINI.

KITUO CHA TGC CHAMKABIDHI KATIBU MKUU MAHIMBALI TUZO YA KUTHAMINI MCHANGO WAKE UONGEZAJI THAMANI MADINI.

Watumishi wa Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) wamemkabidhi tuzo maalum ya shukrani Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali kwa kutambua mchango wake katika kuimarisha shughuli za uongezaji thamani madini nchini. Akikabidhi tuzo hiyo kwa Katibu Mkuu katika Hafla hiyo fupi iliyofanyika kwenye Ofisi za Wizara ya Madini, Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma […]

Read More
 WAGOMBE 58 WATEULIWA KUWANIA UBUNGE NA UDIWANI

WAGOMBE 58 WATEULIWA KUWANIA UBUNGE NA UDIWANI

Wagombea na wafuasi wao wakiangalia fomu za uteuzi zilizowekwa wazi na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Nala iliyopo Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Uteuzi ulifanyika Agosti 19,2023 ambapo uchaguzi katika Jimbo la Mbarali na Kata sita za Tanzania bara unataraji kufanyika Septemba 19 mwaka huu. (Picha na NEC).  Wagombea 58 kutoka vyama 17 vya siasa […]

Read More
 STAMICO YAWA MKOMBOZI KWA WAZALISHAJI WA CHUMVI NCHINI

STAMICO YAWA MKOMBOZI KWA WAZALISHAJI WA CHUMVI NCHINI

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeanza kushughulikia changamoto za wazalishaji wa chumvi nchini kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa chumvi nchini kuwa wa tija na manufaa. Hayo amesema Meneja Uwezeshaji uchimbaji mdogo Tuna Bandoma wakati wa Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji akizungumza katika Kongamano la Wadau wa Chumvi lililofanyika Agosti 21, mkoani […]

Read More
 DKT. TAX AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA COMORO

DKT. TAX AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA COMORO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Visiwa vya Comoro nchini, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali ya ushirikiano ikiwemo maandalizi ya Mkutano wa Tume ya Kudumu […]

Read More
 DKT NCHEMBA AKUTANA NA EXIM BANK CHINA

DKT NCHEMBA AKUTANA NA EXIM BANK CHINA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, akiongoza Ujumbe wa Tanzania mjini Beijing China, ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Exim Mhe. Ren Shengjun na Makamu wake Mhe. Zhang Wencai, ambapo masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Benki hiyo na Tanzania yalijadiliwa kwa kina. Ikumbukwe kwamba Exim Bank wanafadhii […]

Read More