RAIS SAMIA AFUNGUA KIKAO KAZI KWA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA KATIKA UKUMBI AICC ARUSHA

RAIS SAMIA AFUNGUA KIKAO KAZI KWA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA KATIKA UKUMBI AICC ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakati wa  wimbo wa Taifa na Afrika Mashariki alipowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Kikao Kazi kwa Wenyeviti na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma tarehe 19 Agosti, 2023. […]

Read More
 KATAMBI: RAIS SAMIA AMELETA NAFUU KWA WAWEKEZAJI KUONDOA TOZO ZA OSHA

KATAMBI: RAIS SAMIA AMELETA NAFUU KWA WAWEKEZAJI KUONDOA TOZO ZA OSHA

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi akifafanua jambo kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii tarehe 18 Agosti, 2023 Bungeni jijini Dodoma. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Khadija Mwenda. RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwathamini wawekezaji kwa kuridhia kupunguzwa na […]

Read More
 SEKTA YA MADINI KUCHANGIA ASILIMIA 10 IFIKAPO 2025

SEKTA YA MADINI KUCHANGIA ASILIMIA 10 IFIKAPO 2025

Muelekeo wa Sekta ya Madini unalenga katika kuhakikisha Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa unafikia asilimia 10 au zaidi ifikapo mwaka 2025 kama inavyofafanuliwa katika Dira ya Maendeleo ya Taifa, Ilani ya  Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020 pamoja na Mpango Mkakati wa Tume ya Madini wa Mwaka 2019/2020-2023/2024. Hayo yamebainishwa leo […]

Read More
 MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI MKUTANO WA SADC ANGOLA

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI MKUTANO WA SADC ANGOLA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 43 wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Intercontinental Jijini Luanda nchini Angola leo tarehe […]

Read More
 WAKAZI WA MAGU WATAKIWA KUACHA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI 

WAKAZI WA MAGU WATAKIWA KUACHA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI 

Mkuu wa Wilaya ya Magu Rachel Kassanda amewataka wakazi wa Wilaya hiyo kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi pindi wanapowakamata wahalifu na badala yake washirikiane na vyombo vya ulinzi na usalama kwaajili ya kuwachukulia hatua za kisheria wahalifu wanaokamatwa. DC Kassanda ametoa agizo hilo jana Jumatano Agosti 16, 2023 wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara […]

Read More