NAIBU WAZIRI KHAMIS KUSHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA AFRIKA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. KhamisHamza Khamis akipokea taarifa ya Mkutano wa 19 Wataalamu kutoka nchi zaAfrika mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchiniEthiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 19 wa Baraza ka Mawaziri waMazingira wa Aafrika unaotarajiwa kufanyika jijini Addis Ababa kuanzia leotarehe […]
Read More