RAIS SAMIA AFUNGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI (SAFINA HOUSE) LA KANISA LA ANGLIKANA TANZANIA, DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA, DODOMA

RAIS SAMIA AFUNGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI (SAFINA HOUSE) LA KANISA LA ANGLIKANA TANZANIA, DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi Rasmi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo kwenye Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023. Rais wa […]

Read More
 WODI YA MAMA NA MTOTO YA KISASA KUJENGWA NEWALA KUBORESHA HUDUMA

WODI YA MAMA NA MTOTO YA KISASA KUJENGWA NEWALA KUBORESHA HUDUMA

Wananchi wa Newala wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) alipopewa fursa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kuzungumza nao walipokusanyika eneo la Stendi ya Mabasi ya Newala. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembiamesema Serikali ya Awamu ya Sita itajenga wodi ya mama […]

Read More
 DOKTA NCHEMBA ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA HUWAEI BEIJING

DOKTA NCHEMBA ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA HUWAEI BEIJING

Waziri wa Fedha wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), na ujumbe wake wakisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalam wa mambo ya utafiti na stratejia ya mifumo ya TEHAMA wa Kampuni ya Mawasiliano ya Huawei Bw. Chu Wantao, namna walivyofanikiwa kufunga mitambo inayozuia madereva kufanya makosa ya barabarani wanapoendesha vyombo vya usafiri vya moto, […]

Read More
 RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA (TLS), IKULU CHAMWINO DODOMA

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA (TLS), IKULU CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia pamoja nA ujumbe wake katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo yao Ikulu […]

Read More
 MILIONI 331 YAJENGA MADARASA KUONDOA MSONGAMANO WA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MAMBAMBA

MILIONI 331 YAJENGA MADARASA KUONDOA MSONGAMANO WA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MAMBAMBA

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 331 kupitia mradi wa BOOST zilizojenga madarasa yatakayotatua changamoto ya msongamano wa wanafunzi katika shule ya Msingi ya Mambamba ‘B’ Wilayani Tandahimba. Mhe. Ndejembi amesema hayo akiwa katika Halmashauri ya Wilaya […]

Read More
 FISI MWENYE KICHAA CHA MBWA AJERUHI MKAZI NGORONGORO, WAIOMBA SERIKALI KUWAHAMISHA HARAKA

FISI MWENYE KICHAA CHA MBWA AJERUHI MKAZI NGORONGORO, WAIOMBA SERIKALI KUWAHAMISHA HARAKA

MWANAMKE mmoja aliyepoteza Jicho,Masikio pamoja na Viganja vya mikono yake miwili baada ya kushambuliwa na fisi wakati akinusuru mifugo yake isiliwe katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro ameiomba Serikali kumpatia msaada ikiwa ni pamoja na kuhamishwa kutoka katia eneo hilo. Rose Kapande (50) Mkazi waa Kijiji cha Esapai kata ya Nainokanoka wilaya ya Ngorongoro ,mkoani […]

Read More
 RASILIMALI WATU, FEDHA VYAPEWA KIPAUMBELE SADC

RASILIMALI WATU, FEDHA VYAPEWA KIPAUMBELE SADC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) (kulia) akifuatilia ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Luanda, Angola, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC uliopangwa kufanyika Agosti 17, 2023. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu […]

Read More
 NAIBU WAZIRI ATOA WITO KWA WANANCHI KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII

NAIBU WAZIRI ATOA WITO KWA WANANCHI KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza wakati alipotembelea Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga ametoa rai kwa wananchi, Taasisi na Wizara kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kutembelea vivutio vyetu vya […]

Read More
 UJENZI VIVUKO VIPYA VINNE MWANZA WAFIKIA ASILIMIA 60%

UJENZI VIVUKO VIPYA VINNE MWANZA WAFIKIA ASILIMIA 60%

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Lazaro N. Kilahala,mwishoni mwa wiki hii ametembelea Yadi ya Songoro iliyoko Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza kukagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vipya vinne na ukarabati wa vivuko unaoendelea Mkoani humo. Vivuko hivyo vinne vinavyojengwa ni pamoja na kivuko kitakachokwenda kutoa huduma kati ya Ijinga na […]

Read More
 NDEJEMBI ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUCHIMBA MSINGI WA SHULE ZINAZOJENGWA KATA YA MANCHALI CHAMWINO

NDEJEMBI ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUCHIMBA MSINGI WA SHULE ZINAZOJENGWA KATA YA MANCHALI CHAMWINO

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Deogratius Ndejembi ameshirikiana na wananchi wa kata ya Manchalikuchimba msingi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Manchali itakayoitwaNdejembi pamoja na Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa waDodoma inayojengwa katika kata hiyo kupitia mradi wa SEQUIP.Mhe. Ndejembi amesema, wananchi wa Kata ya […]

Read More