RAIS SAMIA AFANYA MAGEUZI MAKUBWA MIRADI YA MAENDELEO BUKOMBE-DKT. BITEKO 

RAIS SAMIA AFANYA MAGEUZI MAKUBWA MIRADI YA MAENDELEO BUKOMBE-DKT. BITEKO 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa kiongozi mahiri katika kipindi cha muda mfupi huku akionyesha mageuzi makubwa ya Maendeleo.Katika kipindi cha muda mfupi aliokaa madarakani kazi aliyoifanya haina mfano wake, hivyo watanzania wametakiwa kuendelea kumuamini na kumpa muda kwani kuna mambo makubwa ya maendeleo anaendelea kuyafanya.Hayo yameelezwa […]

Read More
 WAKUU WA TAASISI ZA SERIKALI WAHIMIZWA KUTENGA BAJETI YA MICHEZO

WAKUU WA TAASISI ZA SERIKALI WAHIMIZWA KUTENGA BAJETI YA MICHEZO

Katibu Mkuu Ikulu Bw. Mululi Majula Mahendeka akiongea na watumishiwanamichezo wakati wa uzinduzi wa bonanza la Michezo ya Shirikisho la Michezo yaWizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.Moses Kusiluka Agosti 12, 2023 jijini Dodoma. Wakuu wa taasisi za Serikali nchini wamehimizwa kutenga bajeti kwa ajili ya michezo katika […]

Read More
 SAFARI YA WACHIMBAJI NCHINI CHINA KULETA TIJA – DKT. KIRUSWA

SAFARI YA WACHIMBAJI NCHINI CHINA KULETA TIJA – DKT. KIRUSWA

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameutaka ujumbe wa  wadau wa Sekta ya Madini wapatao 100 wakiwemo wachimbaji wadogo, wachimbaji wa Kati, Wafanyabiashara wa madini na watoa huduma migodini wanaotarajia kwenda nchini China kuhakikisha safari hiyo inaleta matunda kwa kuleta wawekezaji wengi na kupata vifaa vya kisasa ili kuongeza uzalishaji wa madini nchini. Wadau […]

Read More
 WAGONJWA 10 WAZIBULIWA MISHIPA YA DAMU ILIYOZIBA, KUSABABISHA MOYO KUSHINDWA KUFANYA KAZI

WAGONJWA 10 WAZIBULIWA MISHIPA YA DAMU ILIYOZIBA, KUSABABISHA MOYO KUSHINDWA KUFANYA KAZI

Wagonjwa 10 wamefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo wakuzibua mishipa ya damu iliyoziba katika kambi maalumu ya matibabu ya moyoya siku saba.Kambi hiyo iliyomalizika leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)iliyopo jijini Dar es Salaam imefanywa na madaktari bingwa wa upasuaji wamoyo na mishipa ya damu wa JKCI kwa kushirikiana na mwenzao kutokaHospitali ya […]

Read More
 WAZIRI MHAGAMA AHIMIZA KUWEPO MUONGOZO NA MFUMO WA UFUATILIAJI NA UTENDAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI

WAZIRI MHAGAMA AHIMIZA KUWEPO MUONGOZO NA MFUMO WA UFUATILIAJI NA UTENDAJI WA SHUGHULI ZA SERIKALI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akikabidhi cheti kwa Mkurugenzi wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini wa Ofisi Hiyo Bi. Sakina Mwinyimkuu wakati Mkutano wa Mazingativu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, Ameitaka Idara ya […]

Read More