TEKNOLOJIA YA 5G ITARAHISISHA UTOAJI WA HUDUMA – SAMIA

TEKNOLOJIA YA 5G ITARAHISISHA UTOAJI WA HUDUMA – SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza naviongozi mbalimbali pamoja na wadau wa Mawasiliano kwenye hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mkongo wa Baharini cha Airtel 2Afrika pamoja na Mtandao wenye kasi ya 5G wa Kampuni ya Mawasiliano ya Artel Tanzania iliyofanyika Mbezi Tanki Bovu Jijini Dar es Salaam tarehe […]

Read More
 NEC: AJIRA ZA WATENDAJI WA UCHAGUZI ZIZINGATIE SIFA NA UWEZO NEC

NEC: AJIRA ZA WATENDAJI WA UCHAGUZI ZIZINGATIE SIFA NA UWEZO NEC

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Mbarouk Salim Mbarouk  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewakumbusha Wasimamzi wa Uchaguzi kutekeleza wajibu wao kwa kuhakikisha kwamba ajira za watendaji wa uchaguzi zinazingatia sifa na uwezo. Ukumbusho huo umefanywa na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa), Mbarouk Salim Mbarouk […]

Read More
 SERIKALI YAJA NA MFUMO WA KUONDOKANA NA SUALA LA UPUNGUFU WA WATUMISHI

SERIKALI YAJA NA MFUMO WA KUONDOKANA NA SUALA LA UPUNGUFU WA WATUMISHI

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi akifungua kikao kazi leo jijini Dodoma cha wadau kutoka Serikalini kilicholenga kupata maoni na mapendekezo yatakayosaidia kuboresha Mfumo wa Tathmini ya Mahitaji ya Rasilimaliwatu ili kuondokana na suala la upungufu wa watumishi serikalini. Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma naUtawala Bora, Bw. Juma Mkomi […]

Read More