WAZIRI MKUU AFUNGA MAFUNZO YA UHAMIAJI, AHIMIZA UADILIFU

WAZIRI MKUU AFUNGA MAFUNZO YA UHAMIAJI, AHIMIZA UADILIFU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wahitimu 521 wa mafunzo ya Kozi Na. 01/2023 wakatumie vema ujuzi na maarifa waliyoyapata katika kudhibiti vitendo vya uhalifu hususan maeneo ya vipenyo, vituo na mipakani. Ametoa wito huo leo Ijumaa (Septemba 29, 2023) alipofunga mafunzo hayo kwa askari wa Uhamiaji katika Chuo cha Mafunzo ya Uhamiaji cha Raphael Kubaga, […]

Read More
 MAJALIWA: VIONGOZI WA DINI TUSHIRIKIANE KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA

MAJALIWA: VIONGOZI WA DINI TUSHIRIKIANE KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasihi viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini kuendelee kushirikiana na Serikali katika kupiga vita biashara na matumizi ya dawa za kulevya . “Tushirikiane kupambana na biashara na matumizi ya dawa za kulevya ambayo yameathiri zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa.” Waziri Mkuu Majaliwa ameyasema haya leo Alhamisi, Septemba […]

Read More
 SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MPANGO WA UNYWAJI MAZIWA SHULENI

SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MPANGO WA UNYWAJI MAZIWA SHULENI

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema serikali inaendele kutekeleza mpango wa unywaji maziwa shuleni kwa lengo la kuhakikisha afya za watoto zinaendelea kuimarika. Naibu Waziri Mnyeti ameyasema hayo leo (27.09.2023) wakati akihitimisha Maadhimisho ya Siku ya Unywaji Maziwa Shuleni yaliyofanyika katika viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza. Mnyeti amesema serikali imedhamiria kuhakikisha watoto […]

Read More
 WAZIRI DKT BITEKO: UMEME SIO ANASA, NI HITAJI LA LAZIMA

WAZIRI DKT BITEKO: UMEME SIO ANASA, NI HITAJI LA LAZIMA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema umeme sio anasa bali ni hitaji la msingi na la lazima kwa wananchi. Dkt. Biteko ameyasema haya leo Septemba 27, 2023 wakati wa hafla wa uwashaji umeme Kijiji cha Mubaba na Nyantakara vilivyopo Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera. “Nimewaambia REA pelekeni umeme vijijini, tunataka […]

Read More
 RAIS DK. MWINYI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA SHEIKH OMAR QULLATAYNI

RAIS DK. MWINYI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA SHEIKH OMAR QULLATAYNI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 100 ya Sheikh Alhabyb Omar Qullatayni Bin Muhammad Annadhiyriy iliyofanyika leo tarehe 26 Septemba 2023 Msikiti wa Ijumaa Malindi, Mkoa wa Mjini Magharibi. Masheikh kutoka nchi mbalimbali wameshiriki katika maadhimisho hayo […]

Read More
 KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU CHA GGR CHAIFUNGUA TANZANIA KIMATAIFA, WACHIMBAJI WAMIMINIKA KUSAFISHA

KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU CHA GGR CHAIFUNGUA TANZANIA KIMATAIFA, WACHIMBAJI WAMIMINIKA KUSAFISHA

Imeelezwa kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na Mwekezaji Mtanzania Sarah Masasi kimeiweka Tanzania katika Soko la Kimataifa katika usafishaji wa dhahabu duniani. Hayo yameelezwa na Waziri wa Madini Anthony Mavunde Septemba 25, 2023 Mkoani Geita baada ya kutembelea na kuzungumza na mwekezaji na wafanyakazi wa kiwanda cha kisasa cha […]

Read More
 MITAMBO 15 YA KUCHORONGA MIAMBA KUNUNULIWA, WAZIRI MAVUNDE

MITAMBO 15 YA KUCHORONGA MIAMBA KUNUNULIWA, WAZIRI MAVUNDE

•Oktoba 2023 mitambo mitano itatolewa mkoani Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji wa miamba kwa ajili ya utafiti wa kina wa Madini. Hayo yamebainishwa leo Septemba 25 , 2023 na Waziri wa Madini ANTONY Mavunde wakati akiongea katika kipindi cha Jambo Tanzania (TBC1) kutokea viwanja vya maonesho vya EPZ […]

Read More