MAJALIWA AKAGUA SOKO LA KIMATAIFA LA MAZAO YA UVUVI KAGERA, ATOA MAELEKEZO

MAJALIWA AKAGUA SOKO LA KIMATAIFA LA MAZAO YA UVUVI KAGERA, ATOA MAELEKEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 24, 2023 ametembelea Soko la Kimataifa la mazao ya Uvuvi la Katembe-Magarini lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Mkoani Kagera. Akizungumza na wakazi wa eneo hilo Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali imeweka utaratibu kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi ili kuwawezesha wavuvi kufanya shughuli zao kwa tija. Amesema kuwa Rais […]

Read More
 SERIKALI KUKAMILISHA TAFITI ZA MADINI NCHINI

SERIKALI KUKAMILISHA TAFITI ZA MADINI NCHINI

Serikali kupitia Wizara ya Madini ipo katika mpango wa kukamilisha utafiti wa kina wa jiofizikia kwa kutumia ndege kupitia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST). Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde wakati akihutubia wananchi siku ya ufunguzi rasmi wa maonesho ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita. Akizungumza juu ya maendeleo […]

Read More
 SH900MILIONI KUBORESHA VETA KAMACHUMU, WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WAKE, ATOA MAELEKEZO


SH900MILIONI KUBORESHA VETA KAMACHUMU, WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WAKE, ATOA MAELEKEZO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 24, 2023 amekagua uboreshaji wa miundombinu kwenye Chuo cha Ufundi Standi kilichopo kata ya Kijiji cha Bushagara, Kamachumu mkoani Kagera. Maboresho ya chuo hicho yatagharimu shilingi milioni 903.5 ambapo mpaka sasa kiasi cha shilingi milioni 220.9 zimekwisha tumika. Maboresho hayo yatawezesha ujenzi wa Bweni la wavulana, Bweni la wasichana, […]

Read More
 UPIGAJI MAOKOTO WAWAHAMISHA MAOFISA WANNE WA TRA MUTUKULA,

UPIGAJI MAOKOTO WAWAHAMISHA MAOFISA WANNE WA TRA MUTUKULA,

• Asisitiza Rais Samia anataka uadilifu Serikalini •Ahimiza mji wa Mutukula ujengwe kibiashara WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) cha Mutukula, Bw. Feisal Nassoro na wenzake watatu warudishwe makao makuu mara moja na kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Watumishi wengine ni Bw. Gerald Mabula, Bw. George Mwakitalu […]

Read More
 AJALI MBAYA MBEYA, 9 WAFARIKI, 23 WAJERUHIWA, LORI LAGONGA BASI, MTEREMKO WA IWAMBI

AJALI MBAYA MBEYA, 9 WAFARIKI, 23 WAJERUHIWA, LORI LAGONGA BASI, MTEREMKO WA IWAMBI

Taarifa kutoka Kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga inatueleza kuwa Watu tisa wamefariki dunia na wengine 23 kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari iliyotokea jana usiku Septemba 22, 2023 katika mteremko mkali wa Iwambi, Wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya ikihusisha Lori na basi la abiria. Kamanda Benjamini Kuzaga amesema katika ajali […]

Read More
 WAPIGA RAMLI CHONGANISHI, NOTI BANDIA, BODABODA, SILAHA ZA JADI BUNDUKI, MIKONONI MWA POLISI SHINYANGA

WAPIGA RAMLI CHONGANISHI, NOTI BANDIA, BODABODA, SILAHA ZA JADI BUNDUKI, MIKONONI MWA POLISI SHINYANGA

KUTOKA SHINYANGA: Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa 12 na wengine wamefikishwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ikiwemo kukamatwa noti bandia 15 zenye thamani ya Tsh, 150,000/=, silaha, na vifaa vya kupiga ramli chonganishi vya kufanya shughuli za uganga wa kienyeji bila kibali maalum. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Alhamisi Septemba 21,2023 Kamanda wa Polisi […]

Read More