MAJALIWA: TANZANIA KUWA WAZALISHAJI WAKUBWA WA NISHATI

MAJALIWA: TANZANIA KUWA WAZALISHAJI WAKUBWA WA NISHATI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano na Maonesho ya Nishati Tanzania na amesema kwamba Serikali imedhamiria kuwa mzalishaji mkubwa na nishati. “Tunaendelea na utafutaji wa gesi, tunataka tuwe wazalishaji wakubwa wa nishati, tuwe na umeme wa kutosha utakaopatikana kwa urahisi na nafuu na ziada tutauza nje ya nchi.“ Mheshimiwa […]

Read More
 WAZIRI KAIRUKI ACHARUKA, AITAKA TAWA KUONGEZA KASI YA UKUSANYAJI WA MAOATO

WAZIRI KAIRUKI ACHARUKA, AITAKA TAWA KUONGEZA KASI YA UKUSANYAJI WA MAOATO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ameitaka menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kuhakikisha inaongeza makusanyo yake ya mapato ya ndani zaidi ya lengo iliyojiwekea la kukusanya shilingi bilioni 78.4 kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Waziri Kairuki ameyasema hayo leo Septemba 20, 2023 katika kikao kati yake na Menejimenti ya […]

Read More
 MAKAMU WA RAIS DK MPANGO ATAKA NGUVU YA PAMOJA KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA MAJI DUNIANI

MAKAMU WA RAIS DK MPANGO ATAKA NGUVU YA PAMOJA KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA MAJI DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema ushirikiano unahitajika baina ya serikali, sekta binafsi, wadau wa maendeleo, taasisi za fedha za ndani, azaki pamoja na taasisi za elimu na utafiti ili kuitekeleza vema kampeni ya uwekezaji katika sekta ya maji barani Afrika. Makamu wa Rais amesema hayo alipomwakilisha Rais […]

Read More
 MATUMAINI MAKUBWA BANDARI YA MTWARA, RAIS SAMIA ATAAKA BIDII, WELEDI NA UADILIFU

MATUMAINI MAKUBWA BANDARI YA MTWARA, RAIS SAMIA ATAAKA BIDII, WELEDI NA UADILIFU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema takwimu alizopata zinaonyesha bandari ya Mtwara inaweza kuwa ya pili kwa ukubwa ukiachana na bandari ya Dar es Salaam kama watendaji wake watafanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu ili kuvutia wafanyabiashara zaidi. Rais Samia ameyasema hayo leo Septemba 15, 2023 alipotembelea Bandari […]

Read More