TANZANIA KUSHIRIKIANA NA MOROCCO KATIKA MICHEZO

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA MOROCCO KATIKA MICHEZO

Na Eleuteri Mangi Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco hapa nchini Mhe. Zakaria El Goumiri kuhusu ushirikiano baina ya Tanzania na Morocco katika Sekta ya Michezo. Kikao hicho kimefanyika Septemba 13, 2023 katika ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salam ambapo Waziri Dkt. […]

Read More
 WAZIRI MAKAMBA AKABIDHIWA RASMI OFISI

WAZIRI MAKAMBA AKABIDHIWA RASMI OFISI

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amekabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Mhe. Waziri Makamba amemshukuru Dkt. Tax kwa ushirikiano aliompatia wakati […]

Read More
 WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA MICHEZO

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA MICHEZO

Na Mwandishi Wetu RUANGWA: WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka wananchi kwenye maeneo mbalimbali nchini washiriki katika michezo kwa kuwa michezo ni ajira, uchumi na huimarisha afya. “Tunapa faida nyingi kwa kufanya michezo, tushiriki katika michezo pamoja na kukimbia riadha kwa kuongeza vipaji tulivyonavyo kwani tukishindana tunapata na zawadi. Michezo ni uchumi. “ Mheshimiwa Majaliwa ameyasema […]

Read More
 DKT. ABBAS: ROYAL TOUR IMEVUNJA REKODI YA MAPATO, NA IDADI YA WATALII NCHINIkt

DKT. ABBAS: ROYAL TOUR IMEVUNJA REKODI YA MAPATO, NA IDADI YA WATALII NCHINIkt

Na Mwandishi Wetu Mwanza Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema mafanikio ya filamu ya “Tanzania; The Royal Tour” ambayo Rais Samia Suluhu Hassan alishiriki ili kuitangaza Tanzania yameendelea kuleta mafuriko ya mafanikio katika sekta hiyo. “Tayari kwa takwimu za Benki Kuu ya Tanzania za Julai, 2022 hadi Julai, 2023 idadi […]

Read More
 TANZANIA, ZAMBIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KUIFUFUA RELI YA TAZARA

TANZANIA, ZAMBIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KUIFUFUA RELI YA TAZARA

Na Mwandishi Wetu DODOMA. Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu itaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha usafirishaji wa mizigo kwa njia ya reli unaimarishwa kwa kutenga fedha kila mwaka ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ya ndani na nje ya Tanzania inayosafirishwa kupitia […]

Read More