WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA NAIBU WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA NAIBU WAZIRI MKUU

Na Mwandishi Wetu *Amtaka ashughulikie changamoto ya upatikanaji wa mafuta nchini DODOMA: WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemuagiza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko aendelee kushughulikia suala la changamoto ya upatikanaji wa nishati ya mafuta katika maeneo mbalimbali nchini. “…Watanzania wapate hii huduma, upatikanaji huu ni muhimu kuhusisha taasisi zote za mafuta […]

Read More
 DKT. BITEKO ANA KWA ANA NA WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA

DKT. BITEKO ANA KWA ANA NA WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 6, 2023 amezungumza na  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko katika kikao kazi kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma. Kikao kazi hicho pia kilihudhuriwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako na Waziri […]

Read More
 MAVUNDE AIPONGEZA STAMICO KWA KUPIGA HATUA NA KUJITEGEMEA

MAVUNDE AIPONGEZA STAMICO KWA KUPIGA HATUA NA KUJITEGEMEA

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa hatua kubwa iliyopigwa katika kipindi kifupi  kutoka kuwa Shirika tegemezi na kuwa Shirika linalojitegemea huku akilitaka kuendelea kufanya kazi kwa bidii zaidi ili kufikia azma ya kuwepo kwa Shirika hilo. Aliyasema hayo Septemba 05, 2023 jijini Dodoma katika kikao kifupi  na […]

Read More
 SPIKA DK TULIA AKUTANA NA TLS BUNGENI JIJINI DODOMA

SPIKA DK TULIA AKUTANA NA TLS BUNGENI JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) wakiongozwa na Rais wa Chama hicho Wakili Harold Sungusia ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 6 Septemba, 2023. Pamoja na mambo mengine, Dkt. Tulia amewahakikishia kuendeleza ushirikiano kati yao […]

Read More
 MWIBA HOLDING YATISHIA KUWACHUKULIA HATUA WANASIASA WAPOTISHAJI

MWIBA HOLDING YATISHIA KUWACHUKULIA HATUA WANASIASA WAPOTISHAJI

Kampuni ya Uwekezaji kwenye utalii na ranchi za wanyama, Mwiba Holdings Ltd imetishia kuwachukulia hatua kali za kisheria wanasiasa waliosambaza taarifa za uongo kupitia mikutano yao, wakidanganya kwamba kampuni hiyo (na mmiliki wake Thomas Dan Friedkin) imepewa umiliki wa ekari milioni 6 za eneo la hifadhi ya wanyama wilayani Meatu mkoani Simiyu. Kupitia mikutano ya […]

Read More
 ELIMU KUHUSU PROGRAMU YA UTOAJI CHANJO DHIDI YA MAGONJWA YA WANYAMA YA KIPAUMBELE YAANZA KUTOLEWA

ELIMU KUHUSU PROGRAMU YA UTOAJI CHANJO DHIDI YA MAGONJWA YA WANYAMA YA KIPAUMBELE YAANZA KUTOLEWA

Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeanza kutoa elimu kuhusu program ya utoaji chanjo dhidi ya magonjwa ya wanyama ya kipaumbele ambayo inatarajiwa kuanza kwa lengo la kudhibiti magonjwa ya mifugo. Hayo yamesemwa leo (01.09.2023) na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Mhina baada ya kumalizika kwa semina iliyoandaliwa na Wizara hiyo […]

Read More