WAZIRI MKUU, MAJALIWA,  AWATAKA MADEREVA WA SERIKALI WAZINGATIE SHERIA

WAZIRI MKUU, MAJALIWA, AWATAKA MADEREVA WA SERIKALI WAZINGATIE SHERIA

Asisitiza kuwa ukiwa dereva wa Serikali haimaanishi uko juu ya sheria WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka madereva wa Serikali kuwa mfano wa kuzingatia sheria zote kwa sababu kuendesha gari ya Serikali haimaanishi wamepewa rungu la kuvunja sheria bali wanapaswa kuwa mfano wa kuzizingatia hasa zile za usalama barabarani. Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa, “ukiwa dereva wa […]

Read More
 MKURUGENZI WA FAO AIPONGEZA TANZANIA UTEKELEZA MPANGO WA BBT

MKURUGENZI WA FAO AIPONGEZA TANZANIA UTEKELEZA MPANGO WA BBT

MKURUGENZI MKUU wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) Dkt. Qu Dongyu amesema kuwa Shirika hilo limevutiwa na mradi wa kuwawezesha vijana unaotekelezwa na Serikali ya Tanzania wa Jenga Kesho Iliyobora “Building Better Tomorrow” (BBT). “FAO tutaunga mkono mradi huu ili Serikali ya Tanzania iweze kutimiza malengo ya kuwainua vijana na […]

Read More
 CNG IPEWE KIPAUMBELE KUENDESHA MITAMBO NA MAGARI NCHINI- KAMATI YA BUNGE

CNG IPEWE KIPAUMBELE KUENDESHA MITAMBO NA MAGARI NCHINI- KAMATI YA BUNGE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuweka kipaumbele katika kusambaza Vituo vya Nishati ya Gesi Iliyoshindiliwa (CNG) inayotumika katika kuendesha mitambo na magari nchini ili kukabiliana na changamoto za upatikanaji wa mafuta pale zinapotokea. Ushauri huo umetolewa leo Oktoba 18, 2023 jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya […]

Read More
 FAO YAAHIDI KUIUNGA MKONO TANZANIA – MAJALIWA

FAO YAAHIDI KUIUNGA MKONO TANZANIA – MAJALIWA

Ni katika mikakati yake ya kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya Tanzania katika kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo. Amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar […]

Read More