RAIS DKT. SAMIA AMEDHAMIRIA KUWAINUA WANAWAKE- WAZIRI DKT.GWAJIMA

RAIS DKT. SAMIA AMEDHAMIRIA KUWAINUA WANAWAKE- WAZIRI DKT.GWAJIMA

ARUSHA: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuwainua wanawake kiuchumi kwa kuweka msingi unaochochea mabadiliko yanayojielekeza kukua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Siku ya Mwanamke anayeishi […]

Read More

CHONGOLO APEWA UCHIFU WA KABILA LA WAFIPA RUKWA

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo amesimikwa Uchifu na Wazee wa Kabila la Wafipa mkoani Rukwa na kukabidhiwa mkuki na upinde na kuvalishwa mgolole, huku wakiomba wajengewe Makumbusho ya Kabila la Wafipa. Tukio hilo liliongozwa na Chifu wa Kabila la Wafipa, Chifu Malema Mtuka Sinyangwe, ambapo mapokezi ya Katibu Mkuu Chongolo […]

Read More
 NAWAAHIDI WAWEKEZAJI KUWA SERIKALI ITAWAPA USHIRIKIANO – DKT. BITEKO

NAWAAHIDI WAWEKEZAJI KUWA SERIKALI ITAWAPA USHIRIKIANO – DKT. BITEKO

#Azindua mtambo mpya na wa kisasa wa mabati ya rangi #Ajira 500 kutolewa katika mtambo huo #Asisitiza Sekta Binafsi kujenga uchumi imara Imeelezwa kuwa, Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wenye Viwanda, Wafanyabiashara na Wawekezaji kushiriki katika ukuzaji wa uchumi hususan kwenye Sekta ya Viwanda. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 15, 2023 na Naibu Waziri Mkuu […]

Read More
 WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA JUKWAA LA CHAKULA, ITALIA

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA JUKWAA LA CHAKULA, ITALIA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktoba 14, 2023 amewasili Rome, Italia ambapo atamuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023. Mkutano huo wa wakuu wa […]

Read More
 KAMPUNI YA CRC YABURUZWA MAHAKAMNI NA BENKI YA EQUITY,YADAIWA MABILIONI YA FEDHA ILIZOKOPA

KAMPUNI YA CRC YABURUZWA MAHAKAMNI NA BENKI YA EQUITY,YADAIWA MABILIONI YA FEDHA ILIZOKOPA

Kampuni ya usafirishaji ya Continental Reliable Clearing (T) LIMITED ( CRC) inahangaika kujinusuru na hatari ya kufungwa kwa amri ya mahakama baada kuwasilisha mahakamani maombi ya zuio dhidi ya Benki ya Equity ili hatua hiyo isitangazwe katika vyombo vya habari. Kutokana na hali hiyo, Kampuni hiyo iko hatarini kufungwa kufuatia shauri la maombi lililofunguliwa na […]

Read More
 DKT BITEKO AWAAGIZA TANESCO, REA KUFIKISHA UMEME KWENYE VITONGOJI

DKT BITEKO AWAAGIZA TANESCO, REA KUFIKISHA UMEME KWENYE VITONGOJI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa akiwasha umeme kwenye Kijiji cha Ndalibo, Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa sambamba na kuzindua kisima […]

Read More