WAZIRI JAFO ATAKA TAFITI MABADILIKO YA TABIA NCHI, ILI KULINDA MAZINGIRA

WAZIRI JAFO ATAKA TAFITI MABADILIKO YA TABIA NCHI, ILI KULINDA MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo ametoa rai kwa watafiti kufanya tafiti zitakazosaidia kupata ufumbuzi wa changamoto za kimazingira hususan mabadiliko ya tabianchi. Ametoa rai hiyo wakati akizindua Programu ya Utafiti kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi kupitia Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) leo Oktoba 11, 2023 jijini […]

Read More
 DKT BITEKO AHAIDI KUTATUA CHANGAMOYO YA UMEME KWA HARAKA, RAIS MSTAAFU KIKWETE AMPONGEZA

DKT BITEKO AHAIDI KUTATUA CHANGAMOYO YA UMEME KWA HARAKA, RAIS MSTAAFU KIKWETE AMPONGEZA

#Chalinze imetekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020- 2025 kwa mafanikio CHALINZE: Serikali imeahidi kushughulikia changamoto ya umeme iliyopo nchini kwa kasi kubwa ili tatizo hilo liweze kuisha katika kipindi kifupi kuanzia sasa. Hayo yameelezwa leo Oktoba 11, 2023 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko katika Mkutano Mkuu Maalum wa […]

Read More
 DKT BITEKO USO KWA USO NA RAIS MUSEVEN, AMPA SALAMU

DKT BITEKO USO KWA USO NA RAIS MUSEVEN, AMPA SALAMU

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Ikulu ya Entebbe nchini humo ili kupokea salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa Nchi ya Uganda. Mhe. Rais Museveni […]

Read More
 TANZANIA NA INDIA SASA NI WASHIRIKA WA KIMKAKATI

TANZANIA NA INDIA SASA NI WASHIRIKA WA KIMKAKATI

India na Tanzania sasa zimebadili uhusiano wao kutoka wa kawaida kidiplomasia kuwa wa mkakati, taarifa ya Ikulu. Hatua hiyo imefikiwa kufuatia ziara ya Kitaifa ya Rais Samia Suluhu Hassan inayoendelea nchini India ambapo leo imetangazwa rasmi kwenye mkutano wake na Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi. Tofauti kati ya ushirikiano wa kidiplomasia na ule wa […]

Read More
 WAKATI TANZANIA IKITAJWA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KUTOKOMEZA UKEKETAJI, MANYARA YAONGOZA KWA UKEKETAJI

WAKATI TANZANIA IKITAJWA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KUTOKOMEZA UKEKETAJI, MANYARA YAONGOZA KWA UKEKETAJI

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa pili wa kutokomeza Ukeketaji ambao unatarajia kuwa na washiriki 900 kutoka Barani Afrika. Akizungumza na Waandishi wa Habari Oktoba 07, 2023 jijini Dar Es Salaam, Waziri Dkt. Gwajima amesema, Tanzania imechaguliwa kuwa nchi mwenyeji wa […]

Read More