RAIA WA NIGERIA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA KILO 4.14

RAIA WA NIGERIA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA KILO 4.14

Mshtakiwa huyo ambaye mkazi wa Gongolamboto, amefikishwa Mahakamani hapo Jana naalisomewa shtaka lake na wakili wa Serikali, Eric Davis, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Ruboroga. Akimsomea hati ya mashtaka, wakili Davis , alidai kuwa mshtakiwa anadaiwa kutenda kosa lake, Agost 31, 2019 eneo Ubungo wilaya ya Ilala. Siku hiyo ya tukio, mshtakiwa anadaiwa kusafirisha […]

Read More
 MAJALIWA: VIBARUA WENYE NYARAKA ZA JIJI WAKAMATWE, AZUIA KAMPUNI BINAFSI UPIMAJI ARDHI DODOMA

MAJALIWA: VIBARUA WENYE NYARAKA ZA JIJI WAKAMATWE, AZUIA KAMPUNI BINAFSI UPIMAJI ARDHI DODOMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kampuni zote zilizopewa kazi za upimaji wa viwanja kwenye Jiji la Dodoma na zimeshindwa kukamilisha kazi hiyo, ziwe zilikuwa na mikataba ama hazikuwa na mikataba zichukuliwe hatua kali za kisheria. “Moja kati ya hatua hizo, ni kuziblacklist kwa sababu makampuni hayo yapo, tutumie makampuni ambayo yana uaminifu badala ya kutumia […]

Read More
 BASHUNGWA ATINGA MLIMA KITONGA KIBABE, ATAJA MKAKATI WA KUIPANUA,  ZAIDI YA SH6.4BILIONI KUTUMIKA

BASHUNGWA ATINGA MLIMA KITONGA KIBABE, ATAJA MKAKATI WA KUIPANUA, ZAIDI YA SH6.4BILIONI KUTUMIKA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema Serikali imesikia kilio cha Watumiaji wa barabara kuu ya TANZAM kutokea Ruaha Mbuyuni hususan eneo la Mlima Kitonga lenye urefu wa kilometa 7.6  na inakwenda kutoa suluhisho, ambapo tayari wataalam wamewasilisha mapendekezo ya muda mfupi na muda mrefu ambayo yatafanyiwa kazi na Serikali. Eneo hilo la Mlima Kitonga ambalo limekuwa […]

Read More
 SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA NISHATI ILI KUKUZA NA KUCHOCHEA UCHUMI

SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA NISHATI ILI KUKUZA NA KUCHOCHEA UCHUMI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali itahakikisha inaweka mazingira mazuri zaidi ya uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati ili kuchochea maendeleo ya uchumi nchini. Waziri Biteko ameyasema hayo, Oktoba 05, 2023 wakati alipokuwa akizindua ripoti ya utafiti wa ushirikiano kwenye sekta ya Nishati kati ya Tanzania na Sweden kwa […]

Read More
 KAMPENI YA TUTUNZANE MVOMERO DAWA YA MIGOGORO YA ARDHI

KAMPENI YA TUTUNZANE MVOMERO DAWA YA MIGOGORO YA ARDHI

Kampeni ya upandaji wa Malisho ya mifugo, uchimbaji wa visima na malambo katika mashamba binafsi ya wafugaji, hamasa ya kilimo biashara na rafiki kwa mazingira imelenga kutatua migogoro ya ardhi wilayani Mvomero. Kampeni hii inayokwenda na kauli mbiu, “Mfugaji Mtunze Mkulima, Mkulima Mtunze Mfugaji ili Kulinda Mazingira Yetu” inalenga kuwaelimisha kwanza kuanza kumiliki ardhi kwa […]

Read More
 SEKTA YA MADINI KUFUNGAMANISHWA NA MIPANGO YA TAIFA UWEKEZAJI

SEKTA YA MADINI KUFUNGAMANISHWA NA MIPANGO YA TAIFA UWEKEZAJI

#Mazingira ya Uwekezaji Sekta ya Madini kuboreshwa Imeelezwa kuwa, Wizara ya Madini imeweka Mipango ya kuhakikisha Sekta Madini inafungamanishwa na mipango ya taifa ili kuwa na Matumizi yenye tija katika rasilimali za nchi hususan katika Sekta ya Madini. Hayo yameelezwa leo Oktoba 4, 2023 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde alipokutana na Waziri Ofisi ya […]

Read More
 WAZIRI ULEGA: WAVUVI TUMIENI BOTI KUBORESHA MAISHA YENU

WAZIRI ULEGA: WAVUVI TUMIENI BOTI KUBORESHA MAISHA YENU

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amewataka wavuvi kuchangamkia fursa iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan ya ugawaji wa boti na vizimba ili waweze kufanya shughuli zao kisasa na kuboresha maisha yao. Waziri Ulega ametoa rai hiyo alipofanya ziara katika Soko la Samaki la Kimataifa la Kilumba mkoani Mwanza, alipowatembelea wavuvi hao kwa lengo […]

Read More
 RAIS DK. MWINYI AWATAKA MABALOZI KUITANGAZA ZAZIBAR NA FURSA ZAKE ZA KIUCHUMI

RAIS DK. MWINYI AWATAKA MABALOZI KUITANGAZA ZAZIBAR NA FURSA ZAKE ZA KIUCHUMI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewataka Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .Dkt Samia Suluhu Hassan kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali Duniani kuitangaza Zanzibar na kutafuta fursa za kiuchumi. Fursa hizo zilizopo kwenye uchumi wa buluu ikiwemo sekta ya utalii kwa maeneo […]

Read More
 WAZIRI BASHUNGWA AANZA KUSHUGHULIKIA MAAGIZO YA RAIS SAMIA MKOANI MBEYA

WAZIRI BASHUNGWA AANZA KUSHUGHULIKIA MAAGIZO YA RAIS SAMIA MKOANI MBEYA

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amemkabidhi kazi ya ujenzi mkandarasi Kampuni ya China Henan Internation Cooperation Group Ltd (CHICO) atakayejenga barabara ya njia nne kutoka Igawa, Mbeya Songwe hadi Tunduma, yenye urefu wa kilometa 218 kwa kiwango cha lami huku akisisitiza kuwa barabara inayotumika kwa sasa itaachwa maalumu kwa ajili ya ujenzi wa mwendokasi. Akizungumza […]

Read More