MTANZANIA ANAYEMILIKI KIWANDA CHA KUSHONA NGUO AKUTANA UJUMBE WA TANZANIA THAILAND

MTANZANIA ANAYEMILIKI KIWANDA CHA KUSHONA NGUO AKUTANA UJUMBE WA TANZANIA THAILAND

Wakati wa ziara ya Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand ikiendelea, mbali na kutembelea shughuli za madini, ujumbe umepata wasaa wa kukutana na kijana wa Kitanzania Suleiman Kilonda aliyewekeza jijini Bangkok nchini humo kwa kumiliki kiwanda cha kushona na kuchapisha fulana cha Sk Export. Mbali na kumiliki kiwanda, Suleimani amefungua maduka ya kuuza nguo za aina […]

Read More
 WAZIRI MKUU ATOA MIEZI MITATU KWA WAKUU WA MIKOA

WAZIRI MKUU ATOA MIEZI MITATU KWA WAKUU WA MIKOA

*Awataka waanzishe vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi kabla ya 2024 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi mitatu kwa Wakuu wa Mikoa yote nchini ambao bado hawajaanzisha vituo vya uwezeshaji wananchi kiuchumi kama ilivyoelekezwa katika Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020/2025 wawe wameshaanzisha kabla ya mwaka 2024. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amewataka Viongozi na Watendaji Wakuu wa […]

Read More
 MAJALIWA AWAPIGIA MAGOTI VIONGOZI WA DINI “WAHAMASISHENI WAUMINI WENU KUFANYA KAZI KWA WELEDI”

MAJALIWA AWAPIGIA MAGOTI VIONGOZI WA DINI “WAHAMASISHENI WAUMINI WENU KUFANYA KAZI KWA WELEDI”

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa staha, weledi na uadilifu ili kuzitumia rasilimali zilizopo nchini kujiletea maendeleo. “Nchi yetu imebarikiwa fursa nyingi za kiuchumi, ili jamii ione matunda ya uwepo wa fursa hizo tunategemea sana nguvu kazi ya vijana katika kuzitumia rasilimali zilizopo” Ametoa wito huo […]

Read More