RC CHALAMILA ARIDHIA MAPENDEKEZO YA UGAWAJI WA BAADHI YA KATA NA MITAA KIGAMBONI
Asema mchakato wa Jambo hilo umefuata taratibu zote hitajika Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila Novemba 29, 2023 ameridhia ombi la kugawa maeneo ya Kiutawala katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kama yalivyowasilishwa Chalamila amesema mchakato huo umefuata hatua zote stahiki ikiwa ni pamoja na kutembelea maeneo husika na kutembelea wananchi na […]
Read More