KIHENZILE AITAKA LATRA KUDHIBITI MADEREVA WANAOCHEZEA MFUMO WA VTS

KIHENZILE AITAKA LATRA KUDHIBITI MADEREVA WANAOCHEZEA MFUMO WA VTS

Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameutaka Uongozi Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kukahikisha ianwachukulia hatua za kisheria Madereva wote wanochezea Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari (VTS) . Kihenzile meyasema hayo alipofanya ziara ya kutembelea ofisi ya LATRA Mkoa wa Dar es Salaam Mtaa wa Nkrumah na kituoa cha Kufuatilia Mwenendo wa Magari […]

Read More
 RC CHALAMILA ASHIRIKI IFM ALUMNI MARATHON

RC CHALAMILA ASHIRIKI IFM ALUMNI MARATHON

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo Novemba 19,2023 ameshiriki IFM Alumni Marathon ambayo imeandaliwa na Watumishi na Wanafunzi waliosoma katika chuo hicho cha Usimamizi wa fedha ambao kwa sasa wanafanya kazi maeneo mbalimbali hapa nchini. Akiongea mara baada ya kukimbia umbali wa kilometa 5 Mhe. Chalamila amekipongeza chuo hicho kwa […]

Read More
 RC CHALAMILA MWANAMKE MJASIRIAMALI ANAYEJITAMBUA NI CHACHU YA MAENDELEO KATIKA JAMII

RC CHALAMILA MWANAMKE MJASIRIAMALI ANAYEJITAMBUA NI CHACHU YA MAENDELEO KATIKA JAMII

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Novemba 18, 2023 wakati wa Kongamano lililoandaliwa na Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC) katika Ukumbi wa Hotel ya Hyatt Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila akiwa katika Kongamano hilo alipata wasaa wa kujionea bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na Wanawake wajasiriamali wa kitanzania […]

Read More
 JOKATE AWAGUSA MABINTI WALIOPATA MIMBA NA KUENDELEA NA SHULE, “KILA MWANAFUNZI ATATIMIZA NDOTO YAKE KUPITIA ELIMU”

JOKATE AWAGUSA MABINTI WALIOPATA MIMBA NA KUENDELEA NA SHULE, “KILA MWANAFUNZI ATATIMIZA NDOTO YAKE KUPITIA ELIMU”

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzani (UWT) Jokate Mwegelo @jokateM amefika maeneo ya Chamazi Magengeni Jijini Dar es salaam ambapo amekutana na Binti wa Kitanzania aliyefanya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2023 huku akiwa ananyonyesha. Mbali na Binti huyo, pia Jokate amekutana na Binti mwingine anayeishi maeneo ya Mbande Jijini Dar es salaam […]

Read More
 WAZIRI BASHUNGWA AWAFUNDA MAMENEJA TANROADS, ASISITIZA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA KWENYE MANUNUZI

WAZIRI BASHUNGWA AWAFUNDA MAMENEJA TANROADS, ASISITIZA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA KWENYE MANUNUZI

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa,  amewataka Mameneja wa Wakala wa Barabara nchini  (TANROADS), kuhakikisha wanaendelea kupambana na suala la rushwa katika maeneo yao ya kazi na nje ya kazi ili kujenga taswira nzuri kwa Wakala huo na Taifa kwa ujumla. Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Mamemeja hao, tarehe 17 Novemba, jijini Dodoma, Waziri Bashungwa amesisitiza  […]

Read More
 DKT. BITEKO AMTAKA MSAJILI WA HAZINA KUTOA MAELEZO

DKT. BITEKO AMTAKA MSAJILI WA HAZINA KUTOA MAELEZO

✅ Ni kutokana na ushiriki hafifu wa mashirika ya umma michezo ya SHIMMUTA ✅ Ataka Watumishi kuwa weledi, watatue matatizo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemtaka Msajili wa Hazina nchini kufikia Jumanne Asbuhi awasilishe maelezo ya kwa nini mashirika mengi ya Umma hayajashiriki Michezo ya SHIMMUTA yanayoendelea jijini Dodoma, […]

Read More
 SERIKALI KUWAWEZESHA VIFAA VIJANA WAHITIMU WA FANI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI

SERIKALI KUWAWEZESHA VIFAA VIJANA WAHITIMU WA FANI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI

Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kuhakikisha panakuwepo na mwendelezo wa ujuzi na utaalam wanaopata wanafunzi wa fani ya jemolojia ambapo imepanga kuwapatia bure vifaa vya kuwawezeha kujiajiri na kuongeza thamani ya madini. Hayo yamesemwa leo tarehe 17 Novemba, 2023 Jijini Arusha na Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Peter Mavunde (Mb) alipotembelea Kituo cha Jemolojia […]

Read More
 TANZANIA YATOA WITO KWA MATAIFA TAJIRI DUNIANI*

TANZANIA YATOA WITO KWA MATAIFA TAJIRI DUNIANI*

_Yataka yasaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea_ SERIKALI imezitaka Jumuiya za Kimataifa zisaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ili kupanua wigo wa ushiriki wa wananchi wake. “Tumeliomba jukwaa hili lione namna ya kushirikisha nchi zinazoendelea kuboresha uchumi wetu ndani ya nchi kwa kukuza biashara na milango ya uwekezaji na namna nyingine zinazoweza kusaidia […]

Read More