WIZARA ZA NISHATI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

WIZARA ZA NISHATI TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI

📌Ushirikiano kujikita katika Sera, Sheria, Utafiti na Utaalam 📌Uhamasishaji Nishati Safi ya Kupikia Sasa kufika Zanzibar 📌Kushirikiana kuimarisha upatikanaji umeme Zanzibar Wizara ya Nishati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo zimesaini hati ya makubaliano itakayopelekea kuimarisha zaidi ushirikiano katika maeneo […]

Read More
 MAKONDA AGEUKA MBOGO MULEBA” HAPA KUNA HARUFU YA RUSHWA, TAKUKURU LAZIMA WAFIKE HAPA

MAKONDA AGEUKA MBOGO MULEBA” HAPA KUNA HARUFU YA RUSHWA, TAKUKURU LAZIMA WAFIKE HAPA

Wakazi wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamepokea matumaini mapya kutoka kwa Katibu mkuu NEC , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Christian Makonda baada yakuwaahidi changamoto zinazowakabili sasa zimefika mwisho kwakua chama cha Mapinduzi kimerudi kwenye misingi yake. Makonda wakati akihutubia wakazi wa eneo hilo leo November 10 ,2023 akiwa njiani kuelekea Chato amesema amipita […]

Read More
 MAJALIWA ATAKA WATHAMINI WAWE WAADILIFU

MAJALIWA ATAKA WATHAMINI WAWE WAADILIFU

*Asisitiza kazi ya uthamini si ya wababaishaji au vishoka WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wathamini wote wawe waadilifu, wenye weledi na wazingatie miiko ya taaluma katika kazi zao za kila siku. Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa wathamini ni watu muhimu katika kufanikisha mipango ya maendeleo ya Taifa. “Mnapaswa kuwa waadilifu na kuzingatia thamani halisi ya ardhi, […]

Read More
 DKT. BITEKO ASHIRIKI MAZISHI YA KAKA WA WAZIRI MKUU MAJALIWA

DKT. BITEKO ASHIRIKI MAZISHI YA KAKA WA WAZIRI MKUU MAJALIWA

#Asisitiza Watanzania wanaupendo wa dhati kwake #Waziri Mkuu Majaliwa awashukuru Watanzania kwa kumfariji Ruangwa – Lindi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameungana na Viongozi mbalimbali wa kitaifa na Watanzania kwa kutoa salamu za pole kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa kufuatia kifo cha […]

Read More
 CCM HAINA MASHAKA NA UTENDAJI KAZI WA WAZIRI MKUU-MAKONDA

CCM HAINA MASHAKA NA UTENDAJI KAZI WA WAZIRI MKUU-MAKONDA

Novemba 2, 2023 *Asema ni kiongozi mchapakazi na mtiifu, Chama kina matumaini makubwa. KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi Paul Makonda amesema CCM haina shaka na utendaji kazi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwani ni kiongozi mchapakazi na mtiifu. “…Katika utendaji wa kazi sisi upande wa Chama tuna matumaini […]

Read More