DKT. BITEKO AZINDUA ZAHANATI YA BUNGONI – ILALA

DKT. BITEKO AZINDUA ZAHANATI YA BUNGONI – ILALA

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 29 Disemba, 2023 amezindua Zahanati ya Bungoni iliyopo mtaa wa Mafuriko Ilala jijini Dar es Salaam na kuwataka wananchi kutumia fursa ya uwepo wa huduma ya zahanati hiyo kutumia huduma badala ya kwenda mbali kufuata huduma za Afya, kwani […]

Read More
 BASHUNGWA AUNGANA NA WANAKAGERA KUMKARIBISHA NYUMBANI KARDINALI RUGAMBWA.

BASHUNGWA AUNGANA NA WANAKAGERA KUMKARIBISHA NYUMBANI KARDINALI RUGAMBWA.

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameungana na wananchi wa wilaya ya Karagwe na Mkoa Kagera katika hafla ya kumpongeza na kumkaribisha nyumbani Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, baada ya kuteuliwa na kusimikwa rasmi na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Kardinali. Hafla hiyo ilifanyika Disemba 28, 2023 nyumba alipozaliwa katika kijiji cha […]

Read More
 MAKONDA AWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO KWA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI

MAKONDA AWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO KWA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Paul Christian Makonda, amewashukuru na kuwaomba Viongozi wote wa Dini nchini, kudumisha ushirikiano kwa viongozi wa Chama na Serikali, kwa kushauri na kutoa miongozo itakayowasaidia kuendelea kuwatumikia Watanzania kwa haki na ufanisi ili kugusa matumaini yao kwenye nyanja mbalimbali […]

Read More
 ANDRY RAJOELINA AAPISHWA, WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI

ANDRY RAJOELINA AAPISHWA, WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumamosi, Desemba 16, 2023) ameungana na Marais kutoka nchi sita barani Afrika kwenye sherehe za kumuapisha Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina. Waziri Mkuu ambaye amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alikuwa miongoni mwa marais kutoka Comoro, Angola, Zimbabwe, Msumbiji, Mauritius, Guinea-Bissau na wawakilishi kutoka nchi zaidi ya 10 ambao wameshiriki […]

Read More
 DKT. BITEKO MGENI RASMI MAHAFALI YA 26 SAUT

DKT. BITEKO MGENI RASMI MAHAFALI YA 26 SAUT

Leo tarehe 16 Disemba 2023, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anashiriki Mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania ( SAUT) yanayofanyika katika Viwanja vya Raila Odinga jijini Mwanza. Mara baada ya kuwasili katika Mahafali hayo, Dkt. Biteko alipokewa na viongozi wa Chuo hicho wakiongozwa na […]

Read More
 TANZANIA IMEFUNGUKA, RC CHALAMILA AZUNGUMZA BAADA YA KUWAPOKEA WAGENI KUTOKA FINLAND NA UN-WOMEN

TANZANIA IMEFUNGUKA, RC CHALAMILA AZUNGUMZA BAADA YA KUWAPOKEA WAGENI KUTOKA FINLAND NA UN-WOMEN

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Desemba 14, 2023 amepokea wageni maalum kutoka nchini Finland na UN-WOMEN Ofisini kwake Ilala Boma Jijini Dar es Salaam. Akipokea wageni hao RC Chalamila ameishukuru Serikali ya Finland kwa mashirikiano katika nyanja mbalimbali na Tanzania hususani Mkoa wa Dar es Salaam ambapo amesema Mkoa […]

Read More
 MAJALIWA AWAPIGIA CHAPUO MADEREVA WA MALORI

MAJALIWA AWAPIGIA CHAPUO MADEREVA WA MALORI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wamiliki wa malori nchini wawajali madereva na wahudumu wa magari hayo ikiwa ni pamoja na kuboresha maslahi yao. Amesema uanzishwaji wa kanzidata ya taarifa za madereva utawawezesha wamiliki hao kutumia taarifa hizo kwa lengo la kusimamia usalama wa madereva pamoja na kufuatilia mienendo na ufanisi wao. “Katika hili, niwasisitize kuhusu […]

Read More
 KASI YA MTO GIDE KUSOMBA MAKAZI YAMSHTUA PROF. KITILA MKUMBO

KASI YA MTO GIDE KUSOMBA MAKAZI YAMSHTUA PROF. KITILA MKUMBO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameahidi kuwa Serikali itachukua hatua madhubuti kuzuia mmomonyoko wa udongo unaokula makazi kutokana na kuhama kwa mito. Akiwa ziarani katika Kata ya Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amejionea athari za mafuriko kwenye mto Gide na kushuhudia baadhi ya […]

Read More