BUKOMBE KUMENOGA, KOMREDI KINANA AZINDUA OFISI MPYA ZA KISASA CCM, DKT BITEKO ASHUHUDIA

BUKOMBE KUMENOGA, KOMREDI KINANA AZINDUA OFISI MPYA ZA KISASA CCM, DKT BITEKO ASHUHUDIA

📌Asema Bukombe imetekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo 📌Ampongeza Dkt. Biteko kwa ubunifu 📌Atoa Heko Umoja na Mshikamano ndani ya CCM Bukombe 📌Dkt. Biteko asisitiza umoja wa Wananchi Bukombe – Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana amezindua Ofisi za kisasa za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe mkoani […]

Read More
 WAZIRI MKUU, BALOZI WA SAUDI ARABIA WAKUTANA WAJADILI KUHUSU KILIMO,UVUVI

WAZIRI MKUU, BALOZI WA SAUDI ARABIA WAKUTANA WAJADILI KUHUSU KILIMO,UVUVI

*Aalika wawekezaji sekta ya uvuvi Tanzania Bara na Zanzibar WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish na kujadiliana masuala mbalimbali yakiwemo ya kilimo, uvuvi na uwekezaji. Akizungumza na balozi huyo leo (Jumatano, Desemba 13, 2023) ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Waziri Mkuu amesema anatambua matunda ya uhusiano wa […]

Read More
 DKT. BITEKO AAGIZA WAKURUGENZI, MAMENEJA TANESCO KUKEMEA RUSHWA KWENYE MAENEO YAO

DKT. BITEKO AAGIZA WAKURUGENZI, MAMENEJA TANESCO KUKEMEA RUSHWA KWENYE MAENEO YAO

*📌Awataka kujenga mahusiano mazuri na Watu* *📌Awasisitiza kutekeleza maono ya kuboresha utendaji kazi kwenye maeneo yao* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amefanya kikao kazi na Wakurugenzi wa Kanda na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambapo katika kikao kazi hicho ametoa maagizo makuu matatu ambayo ni kupambana […]

Read More
 MAKONDA AZIFUATA BARAKA ZA ASKOFU DKT MALASUSA, AWEKEWA MKONO

MAKONDA AZIFUATA BARAKA ZA ASKOFU DKT MALASUSA, AWEKEWA MKONO

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa, Paul Christian Makonda amemtembelea Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, kwa lengo la kumsalimia na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake kuliongoza kanisa hilo, kwa mara nyingine. Katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo Jumamosi, Disemba 2, 2023, Askofu Mkuu Dkt. […]

Read More
 RAIS SAMIA KUZINDUA PROGRAMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WANAWAKE AFRIKA

RAIS SAMIA KUZINDUA PROGRAMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WANAWAKE AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake barani Afrika (AWCCSP) Jumamosi, Desemba 2, 2023 Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu. Marais wa nchi mbalimbali na viongozi wa ngazi za juu za serikali na mashirika ya kimataifa wamealikwa kuhudhuria uzinduzi […]

Read More