DAWASA YAANZA MWAKA NA WAKAZI WA BONYOKWA, UJENZI KITUO CHA KUSUKUMA MAJI WAFIKIA ASILIMIA 30

DAWASA YAANZA MWAKA NA WAKAZI WA BONYOKWA, UJENZI KITUO CHA KUSUKUMA MAJI WAFIKIA ASILIMIA 30

Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano, Ndugu Everlasting Lyaro amesema utekelezaji wa kazi hiyo unaridhisha na kuwataka wananchi wa Bonyokwa na maeneo jirani kuwa wavumilivu wakati mradi huu ukiendelea. “Kazi hii inalenga kuboresha hali ya upatikanaji wa maji kwa wananchi wanaopata maji kwa msukumo mdogo ambao wanaathiriwa na jiografia ya maeneo yao ambayo mengi ni […]

Read More
 KWA MARA YA KWANZA DKT. NCHIMBI ATOA SHUKRANI KWA DKT. SAMIA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

KWA MARA YA KWANZA DKT. NCHIMBI ATOA SHUKRANI KWA DKT. SAMIA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Matukio mbalimbali katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa. Vikao hivyo vimeongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupitia Vikao hivyo, Wajumbe wa Halamshauri Kuu kwa sauti […]

Read More
 ZIARA YA DKT. BITEKO MTWARA YAPELEKEA MITAMBO ILIYOSIMAMA  KUANZA KUZALISHA UMEME

ZIARA YA DKT. BITEKO MTWARA YAPELEKEA MITAMBO ILIYOSIMAMA  KUANZA KUZALISHA UMEME

*Kituo cha Afya Msimbati chaanza kujengwa* *Wananchi Songosongo nao hawajasahaulika* *RC Mtwara amshukuru* Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko mkoani Mtwara tarehe 14 na 15 Novemba 2023 imeleta matokea chanya kwani maagizo yote aliyoyatoa yameanza kufanyiwa kazi ikiwemo […]

Read More
 UTEUZI: KUJI AULA TANAPA, KIHAMIA APELEKWA DART

UTEUZI: KUJI AULA TANAPA, KIHAMIA APELEKWA DART

Taarifa kutoka katika Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu kupitia kwa Mkurugenzi wake Zuhura Yunus inaeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa […]

Read More
 WAZIRI ULEGA AAGIZA KUPUMZISHWA KWA MIEZI MITATU SHUGHULI ZA UVUVI ZIWA TANGANYIKA, ATUMBUA MMOJA

WAZIRI ULEGA AAGIZA KUPUMZISHWA KWA MIEZI MITATU SHUGHULI ZA UVUVI ZIWA TANGANYIKA, ATUMBUA MMOJA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ametangaza mpango wa Serikali wa kupumzisha  shughuli za uvuvi katika ziwa Tanganyika kwa miezi mitatu ili kuwezesha samaki kuzaliana na kuongeza tija kwa wavuvi wanaofanya shughuli zao ziwani humo. Waziri Ulega  ametoa kauli ya serikali kwa nyakati tofauti ambapo awali alitoa kauli hiyo akizungumza na wadau wa uvuvi kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa […]

Read More