BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUTAFUTA SULUHISHO LA  KUJAA MAJI  ENEO LA MTANANA – DODOMA

BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUTAFUTA SULUHISHO LA  KUJAA MAJI  ENEO LA MTANANA – DODOMA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo leo Januari 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi. Pia ameagiza kuwasilishwa kwa mkakati wa kudumu wa kudhibiti eneo hilo […]

Read More
 SERIKALI KUJA NA ‘MASTER PLAN’ YA MIUNDOMBINU.

SERIKALI KUJA NA ‘MASTER PLAN’ YA MIUNDOMBINU.

Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inaandaa Mpango Mkuu (Master Plan) wa Miundombinu ya nchi kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kijamii itakayowezesha kurahisisha usafiri na usafrishaji kulingana na ongezeko la watu nchini. Mpango huo utaangazia mtandao wa barabara wa nchi nzima kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini […]

Read More
 DKT. BITEKO AFUNGUA JENGO LA AFISI MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR AWAPONGEZA RAIS SAMIA NA RAIS DK MWINYI

DKT. BITEKO AFUNGUA JENGO LA AFISI MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR AWAPONGEZA RAIS SAMIA NA RAIS DK MWINYI

Zanzibar Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko,  amefungua Jengo la Afisi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) lililoko eneo la Madema, Zanzibar na kupongeza mafanikio na ushindi wa kufanikisha miradi hiyo muhimu kwa maendeleo ya Zanzibar. Dkt Biteko amesema, kuelekea Kilele cha Mapinduzi ya Zanzibar, watu waliopewa dhamana ya kusimamia […]

Read More
 KENYA YAOMBA MSAADA WA DAWA ZA KIFUA KIKUU KUTOKA TANZANIA

KENYA YAOMBA MSAADA WA DAWA ZA KIFUA KIKUU KUTOKA TANZANIA

Waziri wa Afya Wafula Nakhumicha amesema Kenya imeomba msaada kutoka Tanzania ili kukabiliana na uhaba wa dawa za Kifua Kikuu nchini humo. Waziri huyo amesema nchi imekumbwa na uhaba tangu Oktoba mwaka jana na imechukua hatua za kuhakikisha usambazaji endelevu kwa hospitali za serikali ikiwa ni pamoja na mabadiliko kutoka kwa msambazaji mmoja hadi wasambazaji […]

Read More
 KINANA AMPIGIA KAMPENI RAIS SAMIA KIAINA “UTAMADUNI TULIONAO CCM, RAIS AKIWA AWAMU YA KWANZA TUNAPENDA AENDELEE AWAMU YA PILI”

KINANA AMPIGIA KAMPENI RAIS SAMIA KIAINA “UTAMADUNI TULIONAO CCM, RAIS AKIWA AWAMU YA KWANZA TUNAPENDA AENDELEE AWAMU YA PILI”

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Mhe. Abdulrahman Kinana ameendelea na ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye maeneo mbalimbali nchini na kufanikiwa kufika Wilaya Ruangwa mkoani Lindi. Akiwa Mgeni rasmi kwenye Mkutano mkuu CCM Wilaya ya Ruangwa, Kinana ametoa salaam za Rais Samia kwa wakazi wa […]

Read More
 DKT. BITEKO ACHOTA BARAKA BUKOMBE,  AKUTANA NA WAZEE NA VIONGOZI WA DINI

DKT. BITEKO ACHOTA BARAKA BUKOMBE, AKUTANA NA WAZEE NA VIONGOZI WA DINI

📌 Awashukuru kwa ushirikiano mkubwa wanaompatia 📌 Awaasa kukemea vitendo viovu katika jamii 📌 Wazee na Viongozi wa Dini wampongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini kutoka madhehebu mbalimbali wilayani Bukombe pamoja na Wazee wa wilaya hiyo, katika mkutano uliolenga kubadilishana mawazo […]

Read More