BASHUNGWA AAGIZA MKANDARASI ALIYEDHULUMU MFANYABIASHARA ATAFUTWE NA KUCHUKULIWA HATUA

BASHUNGWA AAGIZA MKANDARASI ALIYEDHULUMU MFANYABIASHARA ATAFUTWE NA KUCHUKULIWA HATUA

Bashungwa ametoa agizo hilo mara baada ya kupokea malalamiko hayo kutoka kwa Mfanyabiahara huyo, Abineza Ginivian wakati akikagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Mji wa Kayanga wilayani Karagwe. Waziri Bashungwa akiongea kwa njia ya simu na Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Mhandisi Rhoben Nkori amemuagiza kumtafuta Mkandarasi huyo kuhakikisha analipa deni ambalo alikopa […]

Read More
 MAKAMBA AGAWA MAJIKO 123 YA GESI KWA SHULE ZA BUMBULI

MAKAMBA AGAWA MAJIKO 123 YA GESI KWA SHULE ZA BUMBULI

Raisa Said,bumbuliMbunge wa Jimbo la bumbuli January Makamba ametoa msaada Wa majiko ya gesi 123  katika shule za Sekondari 24 na Msingi 99 zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli Mkoani Tanga. Msaada huo umetolewa wakati Wa kikao Cha tathimi ya elimu  na wakati wakupongeza shule zilizofanya  vizuri Mwaka 2023  nazilizotoa wanafunzi  waliofanya vizuri katika […]

Read More
 BUMBULI WACHEKELEA UTEKELEZWAJI WA MIRADI, WAMPONGEZA RAIS SAMIA

BUMBULI WACHEKELEA UTEKELEZWAJI WA MIRADI, WAMPONGEZA RAIS SAMIA

Raisa Said,Bumbuli Madiwani Wa Halmashauri ya Bumbuli Mkoani Tanga wamemshukuru Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani kwa kuwapelekea Miradi ya Maendeleo katika kata zao wanazo ziongoza. Pia Madiwani hao wametoa shukrani kwa Mbunge wao January Makamba kwa kuendelea kupigania Maendeleo na kusikiliza kero zao na kuzitafutia ufumbuzi Shukrani hizo wamezitoa wakati […]

Read More
 WAZIRI MCHENGERWA AAGIZA WAKUU WA MIKOA KUSIMAMIA USAMBAZAJI WA SUKARI

WAZIRI MCHENGERWA AAGIZA WAKUU WA MIKOA KUSIMAMIA USAMBAZAJI WA SUKARI

Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo za Wizara zilizoko magogoni jijini Dar es salaam, Waziri Mchengerwa,  amesema Serikali kupitia Tangazo la Serikali namba 40 lililotolewa mwezi Januari,2024 lilitoa bei elekezi na kuwataka viongozi wote wa Mikoa na Wilaya kusimamia bei elekezi iliyotolewa na Wizara ya Kilimo kwenye maeneo yao. “Katika kukabiliana na […]

Read More
 PROFESA MKENDA AFUNGUKA” TAIFA LINAHITAJI WALIMU BORA NA MAHIRI

PROFESA MKENDA AFUNGUKA” TAIFA LINAHITAJI WALIMU BORA NA MAHIRI

Raisa Said,Korogwe Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Taifa linahitaji Walimu bora na mahiri katika kufundisha pamoja na uwezo wa kukaa na kuwalea vizuri watoto wa Kitanzania ili wafikie malengo yao na kusaidia nchi katika nyanja mbalimbali. Profesa Mkenda  aliyasema  hayo Jana wilayani Korogwe   Mkoani  Tanga wakati akifungua Mafunzo ya Kitaifa […]

Read More
 RC CHALAMILA “SIJARIDHISHWA NA KASI YA MKANDARASI UWANJA WA MPIRA MWENGE”

RC CHALAMILA “SIJARIDHISHWA NA KASI YA MKANDARASI UWANJA WA MPIRA MWENGE”

Mhe Albert Chalamila amesema hayo leo Februari 17,2024 wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo ambapo amemtaka Mkandarasi Group six International kabla ya machi 30, 2024 awe amekamilisha ujenzi huo na uwanja uanze kufanya kazi mara moja. Aidha RC Chalamila amekemea vikali wakandarasi wasio na uwezo na wanachelewesha kazi kuanzia sasa hawatapatiwa […]

Read More