RAIS SAMIA KUONGOZA MAZISHI YA LOWASSA FEBRUARI 17, 2024 MONDULI ARUSHA

RAIS SAMIA KUONGOZA MAZISHI YA LOWASSA FEBRUARI 17, 2024 MONDULI ARUSHA

*Waziri Mkuu atoa ratiba ya matukio. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli Mkoani Arusha Jumamosi Februari17, 2024. Awali Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza siku tano za maombolezo ya kitaifa ambapo bendera zitapeperushwa nusu mlingoti […]

Read More
 TRILIONI 1.29 ZIMETUMIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU-MAJALIWA

TRILIONI 1.29 ZIMETUMIKA KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka miwili imetumia shilingi trilioni 1.29 kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia. Amesema kati ya fedha hizo shilingi bilioni 454.3 zimetolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule za elimu ya […]

Read More