TUISOME KWA WINGI QURAN TUKUFU- DK.MWINYI

TUISOME KWA WINGI QURAN TUKUFU- DK.MWINYI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya kiislamu kuendelea kuisoma kwa wingi Quran Tukufu katika kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika fainali za kwanza za Mashindano ya kuhifadhi Quran Tukufu Afrika Mashariki yanayosimamiwa na Shirika la Utangazaji Zanzibar […]

Read More
 “WEKEZENI KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA”, WAZIRI JAFO AWAAMBIA WADAU WA MAZINGIRA

“WEKEZENI KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA”, WAZIRI JAFO AWAAMBIA WADAU WA MAZINGIRA

Serikali imetoa wito kwa mashirika na wadau mbalimbali wa mazingira kuwekeza katika nishati safi ya kupikia ili kurahisisha upatikanaji wa nishati hiyo kwa wananchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametoa wito huo alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la UpEnergy Tanzania Bi. Rehema […]

Read More
 WATANO WASIMAMISHWA KAZI TANGA, WATUHUMIWA KUSABABISHA KIFO CHA MJAMZITO

WATANO WASIMAMISHWA KAZI TANGA, WATUHUMIWA KUSABABISHA KIFO CHA MJAMZITO

Raisa Said,Tanga Mkuu wa Wilaya ya Tanga James Kaji amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji Tanga, Dk Frederick Sagamiko kuwasimamisha kazi watumishi watano kutoka katika kituo cha afya cha Mikanjuni kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mama mmoja ambaye alijifungua kwa njia ya upasuaji. Watumushi hao wanaotuhumiwa kwa uzembe ulisaobaisha mama huyo, Fatma Musa Selemani […]

Read More
 WAPATA MAJI SAFI NA SALAMA BAADA YA MIAKA 50

WAPATA MAJI SAFI NA SALAMA BAADA YA MIAKA 50

Raisa Said,korogweWakazi 4,343 wa vijiji vitatu vilivyopo katika Kata ya Magila Gereza, wilayani Korogwe, kukamilika kwa mradi wa maji uliojengwa kwa  gharama ya Sh  775,743,809 million ni kukamlika kwa ndoto yao ya kuwa na maji safi na salama ya bomba ilidumu kwa zaiidi ya miaka 50. Wakazi 4,343 wa vijiji vitatu vilivyopo katika Kata ya […]

Read More
 DKT. BITEKO AAGIZA MPANGO MKAKATI KUIMARISHA HUDUMA AFYA YA MSINGI

DKT. BITEKO AAGIZA MPANGO MKAKATI KUIMARISHA HUDUMA AFYA YA MSINGI

📌Aupongeza Mfumo wa M-mama uliobuniwa na Watanzania 📌Jumla ya vituo 2,799 vimejengwa na vingine kufanyiwa ukarabati kuanzia mwaka 2017 hadi 2024 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza kuweka Mpango Mkakati wa kuhakikisha uwekezaji wa miundombinu uliofanywa na Serikali katika vituo ngazi ya Afya ya Msingi inatunzwa. Dkt. Biteko ametoa […]

Read More
 MAJANGA MINDU, WANANCHI WAVAMIA MLIMA WAJENGA KANDO YA MTO, MECIRA WAFIKA KWENYE ENEO WAPAZA SAUTI

MAJANGA MINDU, WANANCHI WAVAMIA MLIMA WAJENGA KANDO YA MTO, MECIRA WAFIKA KWENYE ENEO WAPAZA SAUTI

• Maafa yaliyotokea Hanang kwa waliojenga njia ya maji yanaweza kutokea Morogoro wakati wowote kutoka sasa baada ya uvamizi kuzunguka hifadhi yam lima mindu kushika kasi •Wananchi wajenga nyumba kandoni mwa mto Mindu, waanzisha mashamba bila kuzingatia kanuni inayokataza shughuli hizo ndani ya mita 60 •Makorongo yanayotiririsha maji na mawe Yazidi kuongezeka chini ya mlima […]

Read More