35 WAFIKISHWA KIZIMBANI KWA MAKOSA MBALIMBALI YA UHALIFU TANGA

35 WAFIKISHWA KIZIMBANI KWA MAKOSA MBALIMBALI YA UHALIFU TANGA

Raisa Said,TangaKatika kuhakikisha wanadhibiti  uhalifu jeshi la Polisi Mkoani Tanga  limefanikiwa kuwafikisha Mahakamani  watuhumiwa 35  ambao wamehukumiwa vifungo mbalimbali kuanzia Februari 21 Hadi machi 21 ,2024 Kwa Mujibu taarifa iliyotolewa na Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Tanga Almachius Mchunguzi , watuhumiwa hao walikamatwa katika Kipindi cha mwezi mmoja. Waliofikishwa  Mahakamani na kuhukumiwa  vifungo  mbalimbali ni […]

Read More
 DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMWOMBEA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI CHATO

DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMWOMBEA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI CHATO

📌 Dkt. Samia ajenga Makumbusho ya Hayati Magufuli Chato 📌 Familia ya Magufuli, Mbunge Chato wamshukuru Rais Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amejumuika na viongozi na wananchi mbalimbali katika misa Takatifu ya kumwombea Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia […]

Read More
 UWEKEZAJI SEKTA YA ELIMU LAZIMA UMGUSE MWALIMU – DKT. BITEKO

UWEKEZAJI SEKTA YA ELIMU LAZIMA UMGUSE MWALIMU – DKT. BITEKO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini. Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati alipomwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya kuzindua […]

Read More
 NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AWASILI OFISINI RASMI

NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AWASILI OFISINI RASMI

📌 Apokelewa na Katibu Mkuu na Wafanyakazi wa Wizara 📌 Aahidi kushirikiana na wadau kumsaidia Mhe. Rais kufikia malengo Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amewasili rasmi ofisini na kuahidi kumsaidia Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan kutimiza malengo yake kwa Taifa. Alipowasili Ofisi za Wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma, alipokelewa […]

Read More
 RAIS SAMIA HATAKI MISUKOSUKO KWA WAFANYABIASHARA- DKT. BITEKO

RAIS SAMIA HATAKI MISUKOSUKO KWA WAFANYABIASHARA- DKT. BITEKO

📌 Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibu 📌 Watumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama mlezi wa Sekta binafsi nchini na hataki kuona wafanyabiashara wanapata misukosuko wakati wa utekelezaji wa majukumu yao. Amesema maono ya Rais […]

Read More