BASHUNGWA AMSIMAMISHA MENEJA WA TANROADS MKOA WA LINDI, AKUTA MTAALAM WA FALSAFA AKISIMAMIA KAZI YA UJENZI.

BASHUNGWA AMSIMAMISHA MENEJA WA TANROADS MKOA WA LINDI, AKUTA MTAALAM WA FALSAFA AKISIMAMIA KAZI YA UJENZI.

Waziri Bashungwa akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Deo Ndejembi ameshuhudia urejeshwaji wa barabara ya Liwale – Nangurukuru iliyosombwa na maji ikisimamiwa na Mtaalam mwenye taaluma ya Falsafa kwa kusaidiwa na Wananchi wakati Mkandarasi akiwa hayupo eneo la Kazi. Bashungwa amechukua hatua hiyo leo tarehe 06 Machi 2024 wakati akikagua […]

Read More
 BASHUNGWA ATOA SAA TATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA MTWARA – MASASI ILIYOKATIKA.

BASHUNGWA ATOA SAA TATU KUREJESHWA MAWASILIANO YA BARABARA MTWARA – MASASI ILIYOKATIKA.

Bashungwa ametoa agizo hilo tarehe 04 Machi, 2024 Wilayani Masasi akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Deo Ndejembi, alipofika hapo kujionea adha ya watumiaji wa barabara hiyo waliokwama tangu majira ya asubuhi kutokana na kukatika kwa miundombinu hiyo  iliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha usiku wa jana. “Nitoe pole kwa wananchi ambao mmepata […]

Read More
 RC CHALAMILA AWAALIKA WANANCHI DAR KUMUAGA HAYATI MWINYI UWANJA WA UHURU

RC CHALAMILA AWAALIKA WANANCHI DAR KUMUAGA HAYATI MWINYI UWANJA WA UHURU

RC Chalamila ametaja njia ambayo mwili wa Hayati utapitishwa ukitokea Mikocheni, utapelekwa Kinondoni Bakwata kwa ajili ya Dua ambayo itaongonzwa Shekh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber, ukiwa inaelekea uwanja wa Uhuru, utapita Kinondoni- Kigogo- Ilala Boma-Veta-DUCE hadi Uwanja wa Uhuru-Temeke Aidha RC Chalamila amesema kuanzia Saa 2:00 Asubuhi uwanja wa Uhuru uko wazi wananchi […]

Read More