BASHUNGWA AAGIZA KUKAMATWA KWA MKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA MPIJI CHINI – DAR

BASHUNGWA AAGIZA KUKAMATWA KWA MKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA MPIJI CHINI – DAR

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni (OCD), Mohamed Senkondo, kumshikilia Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG), anayetekeleza ujenzi Daraja la Mpiji Chini (mita 140) pamoja na barabara unganishi (km 2.3), ahojiwe ili kuanza kuchukuliwa hatua kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa daraja hilo na barabara unganishi. […]

Read More
 UMAHIRI NA UBUNIFU WA RC MAKONDA WAVUTIA WAKUU WA MIKOA.

UMAHIRI NA UBUNIFU WA RC MAKONDA WAVUTIA WAKUU WA MIKOA.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda amekutana na kuzungumza na Wakuu wa Mikoa ya Mwanza Mhe. Said Mtanda na Mhe. Nurdin Babu na kujadiliana nao mambo Mbalimbali kuhusu Maendeleo ya Mikoa yao. Viongozi hao waliofika mkoani Arusha kwa shughuli mbalimbali, wamesifu Maandalizi makubwa yaliyofanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yanayotarajiwa kufanyika […]

Read More
 UHIFADHI WA MAZAO HUMSAIDIA MKULIMA KUPATA BEI NZURI SOKONI

UHIFADHI WA MAZAO HUMSAIDIA MKULIMA KUPATA BEI NZURI SOKONI

Wizara ya Kilimo imeendelea na mikakati kabambe ya uwekezaji kwenye miundombinu ya uhifadhi wa mazao ili kuhakikisha nafaka na mazao mbalimbali yanakidhi vigezo vya ubora katika soko na yanakidhi vigezo vya ubora vya Kimataifa. Uimarishaji wa miundombinu hii inasaidia kuhakikishia nchi Usalama wa Chakula na kudhibiti magonjwa kama Sumukuvu kwani miundombinu hii huwezesha nafaka kuhifadhiwa […]

Read More
 WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA MKURANGA, AELEZA MIKAKATI YA SERIKALI.

WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA UREJESHAJI WA MAWASILIANO YA BARABARA MKURANGA, AELEZA MIKAKATI YA SERIKALI.

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa. Aidha, Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS Mikoa yote kuendelea kufanya ukaguzi wa madaraja na makalvati pamoja na kuondoa matope na takataka ambapo […]

Read More
 DKT. BITEKO ASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU USALAMA MAHALI PA KAZI

DKT. BITEKO ASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU USALAMA MAHALI PA KAZI

Na Mwandishi wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mewataka waajiri kwa kushirikiana na wadau wanaendelea kuboresha mazingira ya kazi ili kuongeza usalama mahala pa kazi na kuwawezesha watumishi kufanya kazi katika mazingira rafiki na hivyo kukuza uzalishaji na kupunguza gharama za uzalishaji. Dkt. Biteko amesema hayo (leo Aprili […]

Read More
 WATALAAM WA SHERIA KUTOKA URUSI WATUA NCHINI KUELEZA UTAALAM NA UZOEFU WAO KATIKA KUPAMBANA NA UHALIFU WA KIMATAIFA

WATALAAM WA SHERIA KUTOKA URUSI WATUA NCHINI KUELEZA UTAALAM NA UZOEFU WAO KATIKA KUPAMBANA NA UHALIFU WA KIMATAIFA

Watalaam kutoka Ofisi kuu ya Waendesha Mashtaka Nchi Urusi wamewasili hapa Nchini kwa ajili ya kushiriki katika kongamano la kitaaluma litakaofanyika tarehe 30 Aprili 2024 katika shule ya uanasheria kwa vitendo Tanzania ( Law School) Jijini Dar es Salaam. Katika kongamano hilo Watalaam hao watatoa mada tatu ikiwa ni pamoja na kueleza namna ambavyo Wanasheria […]

Read More
 VIUATILIFU NA MBOLEA VITUMIKE KWA KIWANGO MAALUM

VIUATILIFU NA MBOLEA VITUMIKE KWA KIWANGO MAALUM

Zikiwa zimebaki siku 3 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara ya Kilimo imeeleza umuhimu wa utafiti katika kufanya kilimo cha kisasa, chenye tija na manufaa makubwa kwa wakulima Wizara hiyo imeweka bayana kuwa utafiti umeendelea kuwezesha upatikani wa mbegu Bora za mazao zenye sifa za kustahimili mabadiliko […]

Read More
 UTAFITI UMEWEZESHA UPATIKANAJI WA MBEGU BORA ZA MAZAO