DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA

DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa licha ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, Bwala la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) lipo salama kutokana na kujengwa kisayansi na hivyo kuendelea kuzalisha umeme kupitia mtambo namba tisa huku mitambo mingine miwili ikiwa ukingoni kukamilika. Dkt. Biteko amesema hayo tarehe 18 Aprili […]

Read More
 KINANA ASHAURI WATUMISHI, WATAALAMU SERIKALINI WASITOE AHADI BILA MIPANGO.

KINANA ASHAURI WATUMISHI, WATAALAMU SERIKALINI WASITOE AHADI BILA MIPANGO.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameeleza kuwa, ni vema Watumishi, wataalamu wa serikali kutotoa ahadi ambazo wanajua hazitatekelezeka au utekelezaji wake utachukua muda mrefu kukamilika kwani imekuwa ikikwamisha shughuli za maendeleo na kusababisha malalamiko kwa wananchi. Kinana meeleza hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Bunda Mjini wilayani Bunda mkoani […]

Read More
 MAJALIWA: SERIKALI MBIONI KUANZISHA BENKI YA USHIRIKA

MAJALIWA: SERIKALI MBIONI KUANZISHA BENKI YA USHIRIKA

Amesema kiasi hicho ni sawa na asilimia 78.5 ya mtaji wa sh. bilioni 20 zinazohitajika na kwamba kuanzishwa kwa benki hiyo, kutaviwezesha vyama vya ushirika kupata mikopo yenye riba nafuu na kuendesha shughuli zake kwa tija. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Aprili 17, 2024) wakati akizungumza na wadau wa Kongamano la Kumi la Wadau wa Sekta […]

Read More
 RAIS DK.MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA SADCOPAC.

RAIS DK.MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA SADCOPAC.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali zote mbili, ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ya Mapinduzi ya Zanzibar zinafanya jitihada kubwa kukabiliana na vitendo vya rushwa na kuhimiza uwajibikaji ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025 pamoja na mipango mingine ya […]

Read More
 LAKE GROUP YATOA MSAADA KWA WATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

LAKE GROUP YATOA MSAADA KWA WATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

Serikali imezipongeza Kamati za Ulinzi na Usalama pamoja na Kamati za Maafa katika maeneo yote yaliyokumbwa na maafa ya mafuriko kwa namna wanavyosimamia zoezi la uokoaji na kuratibu kwa makini misaada inayotolewa kwa ajili ya waathirika. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo ametoa pongezi hizo wilayani Rufiji, […]

Read More
 MAKONDA AKUTANA NA MABALOZI OFISINI KWAKE, WAMPA MBINU ZA UTALII

MAKONDA AKUTANA NA MABALOZI OFISINI KWAKE, WAMPA MBINU ZA UTALII

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ameahidi kuendelea kutilia mkazo uimarishaji wa huduma za kijamii, usalama wa miundombinu mbalimbali ya Jiji la Arusha ili kuendelea kuifanya Arusha kuwa sehemu salama kwa watalii na wageni wanaodhuru Mkoani hapa kwa shughuli mbalimbali. RC. Makonda ametoa kauli hiyo mbele ya Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani,  Balozi […]

Read More
 WAZIRI MAKAMBA AKERWA NA FITINA NDANI YA CCM, ASEMA 2025 FOMU NI MOJA TU KWA RAIS SAMIA

WAZIRI MAKAMBA AKERWA NA FITINA NDANI YA CCM, ASEMA 2025 FOMU NI MOJA TU KWA RAIS SAMIA

Raisa Said,BumbuliWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Bumbuli  January Makamba Amesema    kwenye Chama Cha Mapinduzi CCM  kumekuwa na mambo ya kufitiniana hasa pale Rais aliyepo madarakani anapotakiwa kuendelea na muhula wa pili. Hayo ameyasema  kijijini kwao Mahezangulu Halmashauri ya  Bumbuli Mkoani Tanga  wakati wa Maulidi ya 40 inayofanyika […]

Read More