RC CHALAMILA AONGOZA BARAZA LA BIASHARA MKOA

RC CHALAMILA AONGOZA BARAZA LA BIASHARA MKOA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 05,2024 ameongoza baraza la biashara Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam. Akiongea na waandishi wa Habari RC Chalamila amesema baraza hilo pamoja na mambo mengine limejadili uendelevu wa biashara za wazawa, sera za wawekezaji wa nje […]

Read More
 BASHUNGWA ASHIRIKI IBADA KKKT – KARAGWE, ASKOFU BAGONZA AISHUKURU SERIKALI.

BASHUNGWA ASHIRIKI IBADA KKKT – KARAGWE, ASKOFU BAGONZA AISHUKURU SERIKALI.

Ibada hiyo imeongozwa na Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, leo tarehe 01 April 2024. Akitoa Salamu, Waziri Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Watanzania ya kufanya shughuli uzalishaji mali na kuleta ustawi. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Serikali iendelea kutekeleza miradi mbalimbali […]

Read More
 SIMU YA WAZIRI MAKAMBA KWA BASHUNGWA,  MKANDARASI BARABARA YA SONI – BUMBULI KUPATIKANA MWEZI HUU

SIMU YA WAZIRI MAKAMBA KWA BASHUNGWA,  MKANDARASI BARABARA YA SONI – BUMBULI KUPATIKANA MWEZI HUU

Hatimaye kilio cha muda Mrefu Cha Wakazi wa Bumbuli kuhusu barabara yao ya soni- Bumbuli hadi Dindila wilayani Korogwe  yenye urefu wa kilometa 74 kuanza kupatiwa  dawa mwezi huu Ni baada ya Waziri wa Ujenzi Innosent Bashungwa kusema Rais wa Jamhuri Wa Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ametoa kibari cha kuanza kutangaza tenda […]

Read More