BONIFACE JACOB AJIGAMBA” TUTASHINDA MITAA 48 UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA JIMBO LA UBUNGO”

BONIFACE JACOB AJIGAMBA” TUTASHINDA MITAA 48 UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA JIMBO LA UBUNGO”

Meya mstaafu wa kata ya Ubungo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Nchi nzima hivi karibuni wamejiandaa kushinda mitaa 48 ya jimbo la ubungo. Boniface afunguka hayo wakati akikabidhi mifuko ya simenti na vifaa vingine vya ujenzi wa ofisi ya Chama katika kata […]

Read More
 MHANDISI JOYCE KISAMO WA WIZARA YA NISHATI ATWAA TUZO YA KIMATAIFA YA LUCE 2024

MHANDISI JOYCE KISAMO WA WIZARA YA NISHATI ATWAA TUZO YA KIMATAIFA YA LUCE 2024

πŸ”΄Ni Tuzo ya kutambua mchango wa mwanamke aliyefanya vizuri katika nishati, mazingira na sekta endelevu Na. Mwandishi wetuMtanzania Mha. Joyce Kisamo kutoka Wizara ya Nishati amekua muafrika wa pili kutwaa tuzo ya LUCE ya mwanamke aliyefanya vizuri katika nishati, mazingira na sekta endelevu. Mnigeria Onyinye Anene-Nzelu ambaye ni Mkuu wa Gridi Ndogo katika Ufikiaji wa […]

Read More
 RC MAKONDA AOMBA SIKU 100 KUTEKELEZA AHADI ZAKE ZOTE.

RC MAKONDA AOMBA SIKU 100 KUTEKELEZA AHADI ZAKE ZOTE.

Mhe. Mkuu wa Mkoa Paul Christian Makonda ametoa kauli hiyo leo Mei 16 wakati alipokuwa akikabidhiwa pikipiki 20 kwaajili ya kuimarisha Ulinzi na usalama Mkoani Arusha, pikipiki ambazo zimetolewa na Benki ya Biashara ya CRDB ikiwa ni sehemu ya programu yake ya kurudisha kwenye Jamii. Mhe. Mkuu wa Mkoa amesema miongoni mwa ahadi zake ilikuwa […]

Read More
 CHATANDA AWAHIMIZA WAKANDARASI WANAWAKE KUCHANGAMKIA FURSA YA MIKOPO YA ASILIMIA 10

CHATANDA AWAHIMIZA WAKANDARASI WANAWAKE KUCHANGAMKIA FURSA YA MIKOPO YA ASILIMIA 10

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania(UWT) Ndg. Mary Chatanda amewahimiza Wakandarasi wanawake kuchangamkia Fursa ya Mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri ili waweze kuimarisha mitaji na ufanisi wa kazi zao, hatua ambayo itawawezesha kuaminiwa zaidi na hata kukabidhiwa miradi mikubwa zaidi ya kitaifa. Chatanda ameyasema hayo Leo Mei 16, 2024 wakati wa kikao cha […]

Read More