WEKEZA KATIKA UTAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO: DKT. BITEKO

WEKEZA KATIKA UTAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO: DKT. BITEKO

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu na mchango wa utafiti wa kisayansi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na kisayansi zinazochangia kuchochea maendeleo ya nchi. Dkt. Biteko ameyasema hayo leo Mei 14, 2024 jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Makamu […]

Read More
 RC MAKONDA AANZA KUMJENGEA NYUMBA BIBI PENINA.

RC MAKONDA AANZA KUMJENGEA NYUMBA BIBI PENINA.

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameanza utekelezaji wa ahadi yake ya Kumjengea Bibi Penina Petro (70) Vyumba vitatu na sebule huko Siwandete Kata ya Kiranyi wilayani Arusha. Mhe. Mkuu wa mkoa aliahidi kumjenga nyumba Bibi huyo wakati wa kliniki yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Arusha na ndipo […]

Read More
 WAZIRI MAKAMBA AWASILI PARIS KUHUDHURIA MKUTANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA BARANI AFRIKA

WAZIRI MAKAMBA AWASILI PARIS KUHUDHURIA MKUTANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA BARANI AFRIKA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amewasili jijini Paris, Ufaransa na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Ali Mwadini tarehe 12 Mei, 2024. Mhe. Makamba anatarajia kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu Nishati Safi ya Kupikia barani Afrika utakaofanyika tarehe […]

Read More
 “NIMEJITOA KUWATUMIKIA WANA ARUSHA”- RC MAKONDA

“NIMEJITOA KUWATUMIKIA WANA ARUSHA”- RC MAKONDA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amewaambia wananchi wa Mkoa wa Arusha kuwa nafasi na Cheo chake na nguvu zake zote amezielekeza kwa wananchi wa Mkoa wa Arusha wanaojihisi kusahaulika na kutotendewa haki na watumishi wasiokuwa waaminifu na wananchi wenye fedha. Mhe. Mkuu wa Mkoa Paul Christian Makonda ametoa kauli hiyo leo […]

Read More
 “MAKONDA TUMAINI LETU” WANANCHI ARUSHA WAFUNGUKA

“MAKONDA TUMAINI LETU” WANANCHI ARUSHA WAFUNGUKA

Vilio, nyuso za Huzuni, Majonzi na sura zilizokufa Matumaini ni mambo yaliyotawala kwenye Nyuso za mamia ya Wakazi wa Mkoa wa Arusha waliojitokeza kwa wingi kwenye Kliniki Maalum ya Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda ya kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za Wananchi, zoezi ambalo limeanza leo Mei 08,2024 na likitarajiwa kukamilika Mei 10, […]

Read More
 MABORESHO SEKTA YA AFYA YAPUNGUZA VIFO VYA WATOTO WACHANGA RUFAA MBEYA

MABORESHO SEKTA YA AFYA YAPUNGUZA VIFO VYA WATOTO WACHANGA RUFAA MBEYA

Dkt. Rehema Marando ambaye ni Daktari Bingwa mbobezi wa watoto wachanga kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, Kitengo cha watoto wachanga amesema ndani ya kipindi cha miaka mitatu (3) serikali imefanya maboresho makubwa kwenye kitengo hicho kwa kufunga mitambo ya kisasa inayosaidia kunusuru maisha ya watoto wachanga wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo kuzaliwa kabla […]

Read More