SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA AMUOMBEA KHERI RC MAKONDA.

SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA AMUOMBEA KHERI RC MAKONDA.

Sheikh wa Mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma Akiambatana na Viongozi wengine wa Baraza la Kiislamu Mkoa wa Arusha leo Mei 7, 2024 ameongoza sala Maalum ya kumuombea Kheri Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ili aweze kufanikiwa kwenye Programu yake maalum inayoanza kesho Mei 08,2024. Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul […]

Read More
 BAJETI YA WAKULIMA YAPITISHWA KWA KISHINDO KIKUBWA

BAJETI YA WAKULIMA YAPITISHWA KWA KISHINDO KIKUBWA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha matumizi ya ya Shilingi trilioni 1.24 kwa ajili ya Wizara ya Kilimo katika mwaka 2024/2025 kwa ajili ya utekelezaji wa mipango mbalimbali iliyoainishwa ili kuendelea kukuza Sekta ya Kilimo nchini. Kwa mujibu wa Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Wizara imeongeza kipaumbele kimoja na hivyo […]

Read More
 SILINDE: TUNAONYESHA UMMA MABADILIKO CHANYA AMBAYO WIZARA IMEKUWA IKIYAFANYA KATIKA SEKTA YA KILIMO

SILINDE: TUNAONYESHA UMMA MABADILIKO CHANYA AMBAYO WIZARA IMEKUWA IKIYAFANYA KATIKA SEKTA YA KILIMO

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amesema lengo la Wizara kuweka maonyesho katika viwanja vya Bunge ni kuonesha Umma mabadiliko chanya ambayo Wizara imekuwa ikiyafanya katika Sekta ya Kilimo kuanzia katika ngazi ya tafiti mpaka katika ngazi ya uwekezaji ya kuongeza thamani ya mazao. “Tunaonesha watu namna ambavyo tunaendesha Sekta ya Kilimo Kidigitali […]

Read More
 MAJALIWA: WATENDAJI WA SERIKALI ONDOENI UKIRITIMBA UTOAJI WA HABARI

MAJALIWA: WATENDAJI WA SERIKALI ONDOENI UKIRITIMBA UTOAJI WA HABARI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wa Serikali waondoe ukiritimba kwenye suala la upatikanaji wa habari ili kuwawezesha wanahabari kupata taarifa sahihi na kufanya kazi zao kwa ufanisi. β€œViongozi na Watendaji wa Serikali na Mashirika zingatieni Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa ya Mwaka 2016 na ondoeni ukiritimba katika suala la upatikanaji wa habari […]

Read More
 BASHE AKIWA KWENYE MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KILIMO BAADA YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI

BASHE AKIWA KWENYE MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KILIMO BAADA YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alipata nafasi ya kupita katika maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma baada ya kuwasilisha Bajeti ya Kilimo, jana Mei 02, 2024. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu ya ‘FROM LAB TO FARM 2024’ yamelenga kuonesha jinsi ubunifu na teknolojia za kisasa zinavyoweza kuchochea maendeleo kwenye Sekta […]

Read More
 VITA YA URAIS KATI YA LISSU NA MBOWE YAIPASUA CHADEMA

VITA YA URAIS KATI YA LISSU NA MBOWE YAIPASUA CHADEMA

Mei 3, 2024 Na Mwandishi WetuIringa Vita kubwa ya madaraka kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe imeibuka ndani ya CHADEMA na kukipasua chama hicho kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani. Chimbuko la mgogoro huo wa maslahi ni nani ateuliwe na CHADEMA kuwania urais mwaka 2025 kati ya Lissu […]

Read More