MSIBWETEKE SEKTA YA UVUVI AFRIKA INATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE  KUCHANGIA PATO LA TAIFA:DKT BITEKO

MSIBWETEKE SEKTA YA UVUVI AFRIKA INATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE  KUCHANGIA PATO LA TAIFA:DKT BITEKO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wadau wa sekta ya uvuvi barani Afrika kuhakikisha wanaifanyia kazi sekta ya uvuvi ili kuhakikisha inachangia kwenye pato la Taifa kwa kuhakikisha rasilimalizi za uvuvi zinalindwa. Dkt. Biteko ameyasema hayo leo Mei 5, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano wa Kwanza […]

Read More
 BALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA AKANUSHA UPOTOSHAJI TANZANIA KUTOA SEHEMU YA BAHARI NA MADINI.

BALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA AKANUSHA UPOTOSHAJI TANZANIA KUTOA SEHEMU YA BAHARI NA MADINI.

Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Mhe Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X (zamani Twitter), Balozi Togolani ameandika, “Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, […]

Read More
 TBS YASISITIZA WAFANYABIASHARA KUZINGATIA VIWANGO

TBS YASISITIZA WAFANYABIASHARA KUZINGATIA VIWANGO

Raisa Said, Tanga Shirika la Viwango Tanzania (TBS ) limesisitiza wafanyabiashara kuzingatia bidhaa zao zimekidhi matakwa ya viwango kwani kwa wale wasiofuata taratibu hatua kali za kisheria zitachukuliwa ikiwemo kupigwa faini kuanzia million 10 hadi million 100. Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano na Masoko TBS Gladness Kaseka wakati akizungumza na waandishi wa habari na Wadau […]

Read More