TAKUKURU TANGA YAONYA RUSHWA KIPINDI CHA UCHAGUZI

TAKUKURU TANGA YAONYA RUSHWA KIPINDI CHA UCHAGUZI

Raisa Said,Tanga Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Tanga imewataka wananchi kutimiza wajibu wao kwa kutojihusisha na vitendo vya rushwa kwa kuomba wagombea au kuwa sehemu ya kutoa rushwa kwa wanachama. Wito huo umetolewa na Frank Mapunda kwa niaba ya Mkuu wa Takukuru mkoa wa Tanga wakati akitoa taarifa ya utendaji […]

Read More
 TANGA YAZIDI KUFUNGUKA KIUCHUMI, MELI YA TANI 14 MITA, 200 IMETOKA CHINA NA KUTIA NANGA TANGA

TANGA YAZIDI KUFUNGUKA KIUCHUMI, MELI YA TANI 14 MITA, 200 IMETOKA CHINA NA KUTIA NANGA TANGA

Raisa Said, Tanga Uwekezaji wa mabilioni ya shilingi katika Bandari ya Tanga unaendelea kulipa. Meli kubwa sasa zimeanza kupiga nanga katika bandari hiyo moja kwa moja kutoka katika bandari kubwa duniani.. Kampuni ya Seafront Shipping Services Limited (SSS) imefanikiwa kuzindua meli ya kwanza ya mizigo ya jumla, inayosafirisha takriban tani 14,000 za bidhaa kutoka China […]

Read More
 WANAWAKE 200 HANDENI WAMUOMBEA RAIS SAMIA, FURAHA YAO NI KUKAMILIKA KWA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI

WANAWAKE 200 HANDENI WAMUOMBEA RAIS SAMIA, FURAHA YAO NI KUKAMILIKA KWA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI

Raisa Said,Handeni Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo inayotekelezwa. Rai hiyo imetolewa na Mdau wa Maendeleo Handeni Mariam Mwanilwa wakati akizungumza na wanawake zaidi ya 200 walioshiriki tamasha la wanawake lijulikanalo kama Handeni Woman Handeni lililofanyika ukumbi wa […]

Read More
 KIBEGI CHA SIMBA CHATUA MOROGORO, MJI WASIMAMA KWA MUDA

KIBEGI CHA SIMBA CHATUA MOROGORO, MJI WASIMAMA KWA MUDA

Na Fatuma Mkang’ata, SJMC Dar es SalaamKundi la mashabiki wa Simba Sc wakiongozana na viongozi kadhaa akiwemo afisa habari Ahmed Ally “semaji” wametua mjini Morogoro kuelekea hifadhi ya wanyama ya Mikumi kuzindua wiki ya Simba sambamba na kuutambulisha uzi mpya wa ubaya ubwela utakaotumika msimu wa 2024-2025. Hatua hiyo itafungua rasmi uuzwaji wa jezi hizo […]

Read More
 TATHIMINI UJENZI WA BARABARA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA YA ‘ECOROADS’ YALETA MATUMAINI

TATHIMINI UJENZI WA BARABARA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA YA ‘ECOROADS’ YALETA MATUMAINI

Na. Catherine Sungura,CHAMWINO Teknolojia ya kisasa ya ujenzi wa barabara kwa kuboresha udongo kabla ya kuweka lami juu ijulikanayo kama ‘Ecoroads’ imeonesha matumaini katika miezi sita ya majaribio. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila mara baada ya kutembelea Barabara zilizojengwa na teknolojia hiyo yenye urefu wa Km. […]

Read More