KISHINDO CHA RAIS SAMIA , NI NEEMA RUKWA.

KISHINDO CHA RAIS SAMIA , NI NEEMA RUKWA.

•Aridhia kuanzia msimu ujao wa Kilimo kuwe na ruzuku ya bei ya mbegu za mahindi. •Aridhia Serikali kununua mahindi ya wakulima kwa shilingi 700/Kg •Seminari ya Kahengesa yapata barabara ya lami ikiwa ni heshima kwa mwadhama Protase Rugambwa na viongozi wengine waliowahi kupita katika seminari hiyo maarufu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. […]

Read More
 UN YAUNGA MKONO KAMPENI YA MAMA SAMIA LEGAL AID

UN YAUNGA MKONO KAMPENI YA MAMA SAMIA LEGAL AID

Umoja wa Mataifa (UN) umeunga Mkono kile kinachofanywa na Kampeni ya Mama Samia Legal Aid ( #MSLAC )ambayo imekuwa ikitoa huduma ya msaada wa kisheria bure kwa Wananchi. Kaimu Mkurugenzi wa kitengo cha huduma za Msaada wa Kisheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Bi Ester Msambazi amesema imekuwa ni faraja sana kwa Serikali kwamba […]

Read More
 MAMA SAMIA LEGAL AID YACHANJA MBUGA, SASA KUGUSA MAENEO YA WOSIA MIRATHI NA TALAKA

MAMA SAMIA LEGAL AID YACHANJA MBUGA, SASA KUGUSA MAENEO YA WOSIA MIRATHI NA TALAKA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo amesema Wizara hiyo chini ya Kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeendelea kuwapokea Wananchi, kuwafikia kwa karibu na kuwasogezea huduma za msaada wa kisheria katika masuala ya Elimu, utatuzi wa migogoro, mahitaji na taratibu za kisheria ambazo Wananchi wanapaswa kuzielewa. Akizungumza baada ya kutembelea […]

Read More