WAZIRI MKUU AZINDUA HOSPITALI YA RUFAA YA TOSAMAGANGA

WAZIRI MKUU AZINDUA HOSPITALI YA RUFAA YA TOSAMAGANGA

*Azipongeza taasisi za dini kwa kuendelea kutoa huduma za kijamii WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezipongeza taasisi za dini likiwemo Kanisa Katoliki kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi. Amesema kuwa kitendo cha Kanisa Katoliki cha kuamua kuipandisha hadhi Hospitali ya Tosamaganga na kuwa Hospitali ya Rufaa kwa ngazi ya […]

Read More
 UAMUZI WA SERIKALI KUWAPA WAFANYABIASHARA VIBALI VYA UAGIZAJI KULISHUSHA BEI YA SUKARI

UAMUZI WA SERIKALI KUWAPA WAFANYABIASHARA VIBALI VYA UAGIZAJI KULISHUSHA BEI YA SUKARI

Uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa vibali vya uagizaji wa sukari kwa kampuni nyingine za wafanyabiashara kulichangia kushusha bei ya sukari kwa kiasi kikubwa hali iliyoleta ahueni kubwa kwa wananchi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), Profesa Kenneth Bengesi, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo mchana […]

Read More
 BODI YA SUKARI YATOA MSIMAMO WA SERIKALI YAMALIZA KILA KITU

BODI YA SUKARI YATOA MSIMAMO WA SERIKALI YAMALIZA KILA KITU

Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania Profesa Kenneth Bengesi, aliwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku chache baada ya kupitishwa sheria mpya ya sukari nchini. “Tunaendeleza majadiliano na wadau ili kutatua changamoto zote sambamba na kuikuza sekta ya sukari kwa sababu ni jambo nyeti na muhimu, hivyo tunalichukulia hili kwa […]

Read More
 MABADILIKO YA SHERIA YA SUKARI YATAWAKOMBOA WATANZANIA

MABADILIKO YA SHERIA YA SUKARI YATAWAKOMBOA WATANZANIA

KUFUATIA upotoshaji unaoendelea kutolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na ufahamu juu ya sheria mpya ya sukari, Bodi ya Sukari Tanzania imesema kupitishwa kwa sheria hiyo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaenda kutowesha mfumuko wa bei ili isimuumize mwananchi, upatikanaji wa uhakika, uwazi katika usambazaji wake pamoja na ufanisi kwenye viwanda vya […]

Read More