“TUNA WAJIBU WA KULINDA NCHI YETU” WAZIRI NAPE

“TUNA WAJIBU WA KULINDA NCHI YETU” WAZIRI NAPE

NA PETER EDSON Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amekutana na wanahabari kutoka Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) ambapo amewaasa kutumia vizuri majukwaa yao ya habari mtandaoni kujipatia kipato kukuza maisha yao. Waziri Nape ameyasema hayo alipokutana na wadau wa jumuiya hiyo tarehe 5 […]

Read More
 GF YAIOMBA SERIKALI KUPITIA WIZARA ZAKE KUIUNGA MKONO, MAGARI YA HYUNDAI KUTENGENEZWA NCHINI

GF YAIOMBA SERIKALI KUPITIA WIZARA ZAKE KUIUNGA MKONO, MAGARI YA HYUNDAI KUTENGENEZWA NCHINI

Wakati maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa yakiwa yanafunguliwa leo Julai 03,2024, mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyeambatana na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan walitembelea mabanda mbali mbali kabla ya kuyafungua rasmi. Miongoni mwa makampuni yaliotembelewa na Maraisi hao ni pamoja na banda la kampuni […]

Read More